Mchambuzi: Tuwe na wachezaji wengi wa Yanga timu ya taifa

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
"Kama tusingekuwa na mambo ya utimu kwenye timu ya taifa basi mimi ningependekeza wachezaji wengi kutoka klabu ya Yanga kwenda kwenye mchezo huu dhidi ya Algeria kutokana na uwezo wao ambao waliuonyesha msimu uliopita kwenye kombe la shirikisho wamepata uzoefu mkubwa sana kwenye mechi ngumu na muhimu kama hizi"

@boiboimkali

NB: Mnasemaje kuhusu hili [emoji23][emoji23]

Mayele ni na Diara sio wabongo Unaongelea wachezaji wepi?

Kama sio Bocco staz wasingetinga aivari kost, Bocco ni mchezaji wa Simba huyo ndio Mbongo og ameliheshimisha taifa
Metacha Mnata, Kibwana Shomari, Dickson Job, Ibrahim Abdallah (Bacca), Bakary Nondo Mwamnyeto, Salum Aboubakary, Mudathir Yahya Abbas, Farid Musa Malick, na kwa mbaali Clement Mzize!!

Hawa wote wana sifa ya kuitwa timu ya Taifa.
 
Kabisa mkuu
...vijana wanajitoa sana
 
Hakuna wachambuzi nchi hii achana na hao wapiga porojo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…