Mchana wa kutisha

Sawa mbona wa kwenu wajeuri kushinda hao wakambo mbona hamuwafanyii hvyo chuki tu itoshe tu kusema mwanamke ni kiumbe katili kiwahi kuumbwa na mungu hao nyoka sijui simba ni kwasababu tu wanasumu ila mwanamke ni zaidi yao juzi tu hapa kuna mdada wa Uganda yule alikuwa anamchapa mwanae wa kumzaa kwenye mitandao ilizagaa ile video mi nakwambia hakuna mwanaume anayeweza kufanya vile wanaotesa housegirl ni wanawake hakuna mwanaume anatesa housegirl nyie mna roho mbaya sie tunaya ila nyie mmetuzidi mbali
 
Wewe usinichoshe na majarida yako, tafuta jamaa zako mnaoendana akili ndio mjibizane. Unanijua? Hizo nguvu za kuongea utopolo wako umekaza mishipa kautumie kwenye mambo ya muhimu maishani mwako na sio kunijazia harufu mbaya hapa.
 
Nina umri wa miaka 58,lakini haujali kinacho kutoka mdomoni kitakuwa na madhara kiasi gani kwa jamii,ningekuwa karibu yako ambavyo ungenilamba makofi achia mbali hayo matusi... Siajabu kizazi ni kile kile!!

Mwandiko huwakilisha tabia ya mtu.
 
Wewe usinichoshe na majarida yako, tafuta jamaa zako mnaoendana akili ndio mjibizane. Unanijua? Hizo nguvu za kuongea utopolo wako umekaza mishipa kautumie kwenye mambo ya muhimu maishani mwako na sio kunijazia harufu mbaya hapa.
Et unanijua kwa hyo nikikujua ndo inasaidia nn humu jf kila mtu anajifanya matawi kumbe wote wa kimbangulile tu haya fanya kazi baadae ukagombanie dala dala za kimbangulile huko najua ndo zinakufanya uwe na hasira kiasi hicho ila message sent
 
Nina umri wa miaka 58,lakini haujali kinacho kutoka mdomoni kitakuwa na madhara kiasi gani kwa jamii,ningekuwa karibu yako ambavyo ungenilamba makofi achia mbali hayo matusi... Siajabu kizazi ni kile kile!!

Mwandiko huwakilisha tabia ya mtu.
Kwani makonda alivyomkata kofi samweli sita ilikuwaje
Mwinyi alirambwa kibao halafu ikawaje
Kwani wakubwa hawaongei pumba mtu akizingua sisi tunamrudisha kwenye reli
 
Kwani makonda alivyomkata kofi samweli sita ilikuwaje
Mwinyi alirambwa kibao halafu ikawaje
Kwani wakubwa hawaongei pumba mtu akizingua sisi tunamrudisha kwenye reli
Kipimo cha hekima ya mtu kimtokacho kinywani...
Vijana watatu wanawapita wazee walio kaa, vijana wawili wanawasalimia wazee,kijana mmoja hasalimii, anapita kimya. Baada ya hatua mbili tatu wale vijana walio salimia wanacheka kwa nguvu sana, kijana ambaye hakusalimia hacheki hata....
HEKIMA HUWAKILISHWA NA UKIMYA...
 
Ndugu...
Wanawake wakatili kwa watoto wao kama utawafatilia vizuri utagundua kuwa alishuhudia ukatili wa wazazi wake hasa akiwa mdodo, au alidhalilishwa kijinsia au chochote kile ambacho kimemwaribu akili.
Sasa wewe kama umeona ukatili kwa wachache usijumuishe wanawake wote, na kama mama yako yumo kwenye hilo kundi basi inashangaza.
Ni sawa na wnaume wanao wapiga wake zao...sio makosa yao wale akili zao hasipo sawa na hawajiamini kwa chochote. Wameathirika na unyanyasaji wakiwa wadogo...kwa kutendwa ama kushuhudia.
 
Mtu unatafuta mke asie na kazi ili alee watoto wewe ukienda kazini

Lakini mke huyohuyo ukienda kazini anaingiza mchepuko au anaenda yeye kuliwa nje

Hatari asee
 
Ayo mambo yapo sana uswahilini, niliwakuta watoto wanafanyana kwa zamu alafu vyote vya kiume miaka mitatu hadi mitano mmoja ana saba, niliwapa fimbo walen watoto na kila nikiwaona namuuliza mmoja mmoja mnafanya tena wakisema ndio nawaanzishia tena
 
Nakuelewa mleta mada. Bila nguvu zake Mungu ni kazi bure. Tujitahidi ila na tuwe tukisali na kusoma vitabu vya Mungu pamoja hasa mistari yenye kukataza machukizo kama hayo mbele za Mungu
 
Halafu viband umiza hivyo.jamani mnavyoachia wtt wakaangalie mjitafakari sana..hasa huko uswazi
 
Nzuri kabisa watu hatufanani na huwez kumfurahisha Kila mtu. Nashukuru kwa kunielewa.
 
Uko sahh lakn Kaka unapanick sana hyo ni dalili mbaya kiafya
 
Amin
 
Uko sahh huyu atakuwa amepitia wakat mgumu sn kimalezi na hata kimahusiano anastress sn. Lakn wengi tumepitia manyanyaso lakn hatujaruhusu kuwaumiza wengine.
 
Hali ni mbaya sana- hali inatisha sana.

Malezi ya mtoto wa kiume yamekuwa magumu sana.

Dah! Vijana wangu Mungu awasaidie sana
 
Mkuu pambana na waliokufanyia unafiki. kuja kulalamika kwenye post yangu hakukusaiidii kitu
Wanawake ni wanafiki na jamii imeamua kusikiliza na kuwapa supports kwenye unafiki wao ila wanaume wanapitia changamoto na unyanyasaji kuliko hata wanawake ni vile tu wanaume wameamua kuongea na hata wakiongea hakuna anayewasikiliza.
 
Mkuu pambana na waliokufanyia unafiki. kuja kulalamika kwenye post yangu hakukusaiidii kitu
Kwani kuongea mpaka linifike mimi au niwe nimepitia mimi what if nimeshuhudia kwa jirani akimfanyia mtoto hayo ninayo yasema acheni roho mbaya wanawake shenzi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…