Mchana wa leo tusimame Kwa dk 1na wenzetu wasyria kuiombea ushind or draw

usser

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2015
Posts
13,956
Reaction score
14,032
Jaman masaa machache yaliyobakia
Huenda dunia ikabak Na mshangao
Mkubwa kama co kuduwaa
Wakat huu wasyria wakiwa wamefunga
Na kuiombea tim yao ushind or draw


Dhid ya Australia mchezo utakaochezwa
Mchana wa saa sita saa za Africa masharik
Syria itaishangaza dunia Kwa kufudhu
Kwenda Russia endapo watashinda au kudraw
Didh ya Australia

Huko Syria vta n 24/7 lkn mahali
Wamefkia n wa wakuwaunga mkono
Tuwenao p1 kuwa ombea
 
Wenzetu kwao full vita lakini wanasakata kandanda safi.
Sie huku tumebaki na kejeli na mipasho tu.

Nawatakia Syria Ushindi.
Kabsa mkuu huku wachezaj wetu
wamebak kuimba tu taraabu
Na viongoz wao

Viva Syria Hawa jamaa wanapigana
wanauwana 24/7 lkn Bado wako
Fit kiwanjan mungu awasaidie aisee
 
Washapigwa huku. The ex-toffee mid maestro Tim Cahil katupia mara mbili to break their hearts.
kweli usongo hauzidi uwezo!
 
Dhaaaaaaaa Pole sana wasyria
Nmeskitika sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…