usser
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 13,956
- 14,032
Jaman masaa machache yaliyobakia
Huenda dunia ikabak Na mshangao
Mkubwa kama co kuduwaa
Wakat huu wasyria wakiwa wamefunga
Na kuiombea tim yao ushind or draw
Dhid ya Australia mchezo utakaochezwa
Mchana wa saa sita saa za Africa masharik
Syria itaishangaza dunia Kwa kufudhu
Kwenda Russia endapo watashinda au kudraw
Didh ya Australia
Huko Syria vta n 24/7 lkn mahali
Wamefkia n wa wakuwaunga mkono
Tuwenao p1 kuwa ombea
Huenda dunia ikabak Na mshangao
Mkubwa kama co kuduwaa
Wakat huu wasyria wakiwa wamefunga
Na kuiombea tim yao ushind or draw
Dhid ya Australia mchezo utakaochezwa
Mchana wa saa sita saa za Africa masharik
Syria itaishangaza dunia Kwa kufudhu
Kwenda Russia endapo watashinda au kudraw
Didh ya Australia
Huko Syria vta n 24/7 lkn mahali
Wamefkia n wa wakuwaunga mkono
Tuwenao p1 kuwa ombea