Mchanganuo: Hivi ndivyo Tone Tone ya Chadema ilivyochangiwa na Wananchi Awamu ya Kwanza

Remember the concept of “Tone Tone” is supposed to be subscription hence continuous!! This is where the danger lies because they control the institutions that can access the sensitive data!
Ni kweli lakini. Itakuwa roho mbaya kuzuia mtu anayejitolea
 
Ccm ni chama cha mashetani! Toka lini she tani akawa na roho nzuri? Samia kamuua mzee Kibao mchana kweupe atashindwa kuua usiku?
 
Taarifa ya Shukrani iliyosambazwa na Chadema hii hapa

View attachment 3258579

Toa Maoni yako
Wananchi wengi sana bado wataendelea kuchangia haya mapambano, issue inaweza kuwa transparency on expenses. Tukiweza hilo la kubana matumizi na kuwa accountable kwa kile Tone inayopatikana, basi watanzania watakuwa nasi wenye vyama na wasio na vyama.
 
Chini ya Lissu, Lema Na Heche hili sio la kutilia shaka hata kidogo
 
Ccm ni chama cha mashetani! Toka lini she tani akawa na roho nzuri? Samia kamuua mzee Kibao mchana kweupe atashindwa kuua usiku?
Mkuu usipende kuongea mambo ambayo huna uhakik nayo. Ukiwa hivyo usi quote comment yangu. Sitaki kuunganishwa kwenye kesi
 
Wananchi wengi sana bado wataendelea kuchangia haya mapambano, issue inaweza kuwa transparency on expenses. Tukiweza hilo la kubana matumizi na kuwa accountable kwa kile Tone inayopatikana, basi watanzania watakuwa nasi wenye vyama na wasio na vyama.
ondoa shaka
 
Back
Top Bottom