Mchanganuo kwa mwenye uelewa

Mchanganuo kwa mwenye uelewa

makofia360

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2015
Posts
776
Reaction score
2,392
Nilimsikia waziri mwenye dhamana na Wizara ya mambo ya ndani ambaye alitangaza kuhusu mh Rais kutoa Ajira katika idara mbali mbali za Mambo ya ndani Akasema Uhamiaji wamepewa 350 Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wamepewa 250 Magereza 700 Na polisi 1000 Jumla wizara nzima 2300 Kabla ya hapo IGP alitangaza nafasi 2300 za polisi sikuelewa hapo
 
Back
Top Bottom