FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
sina ushauri hapa imma wish u all the best.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
namshauri IMMA amtafute WOS hata kwa PM atampa clues ya anachokitakasina ushauri hapa imma wish u all the best.
Samahani sijakupata Hapo Who is WOS?namshauri IMMA amtafute WOS hata kwa PM atampa clues ya anachokitaka
Samahani sijakupata Hapo Who is WOS?
The website is sooooo good, thank you for sharing.Mkuu hongera, mimi niko kwenye biashara ya alizeti tayari. Je unataka business plan ili ukope au ni kwa ajiri ya upembuzi yakinifu ktk kutaka kujiridhisha na kuona kuwa biashara inalipa?
Nakushauri usome website hii: www.entrepreneurmag.co.za
Watakusaidia sana katika kuandaa huo mchanganuo na vitu vingine vingi
Mbona simpatiWOS ni mtaalamu wa michanganuo?
Hakuna neno just try to PM invisible labda anayo kwenye stock yake..., I highly recommend anyone anayeandika business plan kuwa nayo hii, kila kitu from marketing to financial aspects...., uzuri ni kwamba unapata sample ya industry yako, wewe unachofanya ni editing peke yakeThank you voice..
Hapana mkuu hii software inakulead ili usifanye mistakes (its like having a map) lets say unataka biashara ya kufuga samaki..., inakulead kwenye opportunites, threats, strengths and weaknesses, pia kunakuwa kuna watu ambao wameshafuga samaki you can check their plans kwa muongozoAnza from scratch