Malila hacha kusikiliza ya watu
Mkuu 1701 shukrani kwanza kwa moyo mkunjufu....Jaman,nlishasema nawasaidia watu Kuandika hizo plan bure,kwenye pm bado watu wazito maana ukisema unataka alafu unaulizwa maswali usijibu unataka nini?kwa experience yangu spaswi kutoa bure lakini ni moyo unanituma di mwili
Tafuta hii software Palo Alto Business Plan. Hii software ni the mother of all softwares when it comes to business plan everything SWOT analysis break even na kuna samples za plan za indrustries zote ambazo you can update it kwenye net..., nilikuwa nayo kipindi fulani ingawa inauzwa ila am sure kuna pirated copies..., try ask invisible au uliza mtu ambaye anayo... hii ni website for more info au google for Palo Alto Business Software Business Plan Software and Marketing Plan Software Palo Alto Software