Mchanganuo wa Biashara (Business Plan) - REQUESTS

Mchanganuo wa Biashara (Business Plan) - REQUESTS

Na,i naomba msaada wa business plann, nataka kufanya biashala
1. Kwale / Quails
2. Sungura

Naomba hio b.plann za tofauti kila biashala na b.plann yake , ntashukulu sana kwa msaada wowote ntakaopata
 
kwa wale ambao ni wajasiriamali wadogo(mtaji chini ya 50m) nitawasaidia bure kuandika hiyo michanganuo,bila kujitolea hii nchi haitoendelea,kuna watu wana 5m na wanataka mchanguo wa biashara,akiweka gharama za kumlipa mtaalam hakika inauma,natumaini mtakaopata cha bure mtasadidia kwa kuwapa wengine ajira,mawasiliano:mous1701@gmail.com
 
Dah huu uzi mods wameuchanganya kweli kweli ila hawajatutemndea haki wengine ambao tulianzisha nyuzi zetu tofauti na huu lakini wamejumlisha comments zetu na za huyu ambaye wamemuweka na sijui vigezo gani vimetumika hapa.
 
Nataka kufungua back yard industries ya kukamua alizeti mtaji wangu 15,000,000 nataka bussiness plan
 
Mi Nina 500000nataka kufuga kuku wa mayai so mkuu naomba nisaidie bossiness plan
 
All da best an never give up brother utafanikiwa
 
Jaman,nlishasema nawasaidia watu Kuandika hizo plan bure,kwenye pm bado watu wazito maana ukisema unataka alafu unaulizwa maswali usijibu unataka nini?kwa experience yangu spaswi kutoa bure lakini ni moyo unanituma di mwili
 
1701 nina miliioni 6 naomba unisaidie plan ninaweza kufanya biashara gani?niko musoma mjini
 
Jaman,nlishasema nawasaidia watu Kuandika hizo plan bure,kwenye pm bado watu wazito maana ukisema unataka alafu unaulizwa maswali usijibu unataka nini?kwa experience yangu spaswi kutoa bure lakini ni moyo unanituma di mwili
Mkuu 1701 shukrani kwanza kwa moyo mkunjufu....

Nadhani ungeweka orodha ya vinavyohitajika katika kuandaa BP ili mtu akikufuata aje na majibu kamili.
 
Last edited by a moderator:
Tafuta hii software Palo Alto Business Plan. Hii software ni the mother of all softwares when it comes to business plan everything SWOT analysis break even na kuna samples za plan za indrustries zote ambazo you can update it kwenye net..., nilikuwa nayo kipindi fulani ingawa inauzwa ila am sure kuna pirated copies..., try ask invisible au uliza mtu ambaye anayo... hii ni website for more info au google for Palo Alto Business Software Business Plan Software and Marketing Plan Software — Palo Alto Software

hapa ndipo jf inapokuwa mkombozi wa watanzania. kila kitu unapata, live long jf.
 
Back
Top Bottom