thomgodson
Member
- Jul 7, 2015
- 14
- 0
Sheikh ungemjibu tunufaike wote ama niniTuwasiliane kwa namba hii 0772 au 0658 977 330
Sheikh ungemjibu tunufaike wote ama nini
nimekuelew mkuu ntfnya hivyoYeye anahitaji kutengenezewa business plan. Mimi ndio shughuli yangu. Details za business model yake anayo mwenyewe. Akinipigia atanipa details nami nitaweza kujua nini cha kufanya.
Kama na wewe unahitaji business plan basi nipigie kwani kila mradi ni tofauti na mwingine.
nimekuelew mkuu ntfnya hivyo
Mi hapo ndo napopaogopa,bora tukubaliane mzigo ukitoka nikupe,haya mambo ya proposal write up pasua kichwa sana hayaNyie watu mko expensive sana nawajua vizuri, labda kama mmeamua kupunguza bei zenu na promotion unazosema. proposal ya 100 million hujui nitapata au la wewe unataka 20% on the spot bila huruma.
Mdau nipe gharama zako za uandishi wa miradiNinaandika michanganuo ya biashara(business plan),pamoja na michanganuo ya miradi(project proposal),kwa gharama nafuu sana pia natoa na ushauri wa ziada,walengwa ni wafanyabiashara wote,unaweza ku ni pm au tumia simu 0753584428,hii ni kwa wale wanaotaka kukopa kwaajili ya kukuza biashara au kwa wale wanaobuni miradi inayohitaji ufadhiri(grants)
SSSRC Ltd.Mdau nipe gharama zako za uandishi wa miradi
SSSRC Ltd.Nataka kufungua back yard industries ya kukamua alizeti mtaji wangu 15,000,000 nataka bussiness plan
SSSRC Ltd.Mi Nina 500000nataka kufuga kuku wa mayai so mkuu naomba nisaidie bossiness plan
SSSRC Ltd.Heshima kwenu wakuu. Kutokana na kupanda kwa gharama za maisha kila uchao, nimeonelea nitumie kile nilichonacho kichwani kujiongezea kipato. Nataka kuanzisha "Electrical & Electronics Repair Shop". Plan ni kuwa approved service provider wa makampuni makubwa yanayouza vifaa vya ki-electronic miaka ijayo. Nahitaji msaada wa kutengeneza business plan. Nawasilisha.
Vipi kuhusu semina na makongamano ya mara kwa mara,je,mnafanya hayo kuiamsha jamii ? nasi tunahitaji ushiriki ktk nyanja fulani.Kwa wale wote waliopo ndani na nje ya Tanzania wenye nia ya kuanzisha kampuni Tanzania lakini hawajui waanzie wapi GM Business Develepment Consult ltd watakupatia jibu
Kwa wale tayari wapo kwenye biashara lakini hawana mpango wa biashara(business Plan) na wala hawajui waanzie wapi GM Bus. Dev. Consult Ltd wanalo jibu.
Kwa wale wenye kuandaa mijadala, workshops, mikutano lakini wangependa kusaidiwa kuiandaa mijadala/workshops/Mikutano kutana nasi kwani tunaouzoefu wa kimataifa.
kwa huduma zetu mbali mbali na maelezo zaidi wasiliana nasi
Mkurugenzi
GM Business Development Consult Ltd
P.O.Box 62297 Dsm
simu 0715 737302 ama 0784 737302
barua pepe info@gmconsultz.com
tovuti www.gmconsultz.com