Basham
JF-Expert Member
- Oct 10, 2014
- 743
- 434
Ambassador Unakaribishwa,
Mashine ya kusaga alaizeti ni bei gani mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ambassador Unakaribishwa,
Mbona hakuna msaada kwa link hiyo?Mkuu hongera, mimi niko kwenye biashara ya alizeti tayari. Je unataka business plan ili ukope au ni kwa ajiri ya upembuzi yakinifu ktk kutaka kujiridhisha na kuona kuwa biashara inalipa?
Nakushauri usome website hii: www.entrepreneurmag.co.za
Watakusaidia sana katika kuandaa huo mchanganuo na vitu vingine vingi
Invisible ni nani ?? Nami naitaji nduguHakuna neno just try to PM invisible labda anayo kwenye stock yake..., I highly recommend anyone anayeandika business plan kuwa nayo hii, kila kitu from marketing to financial aspects...., uzuri ni kwamba unapata sample ya industry yako, wewe unachofanya ni editing peke yake
Siyo BP tu tuelekezane hadi mradi kukamilika. Makaratasi na maandishi ni sehemu ndogo ya mradi mara nyingi yanaishia kwenye stuli baada kufika kwenye cliff. Tunahitaji madaraja ambayo nyie ndiyo mnatakiwa kwenye mho mchongo mzimaDear Caroline,
Nasikitika sana kwa kutoa habari zisizo na ukweli. Hatujawahi hata kumtoza mtu hata zaidi ya 5% na sijui hizo rate zako umezipata wapi.
Pole sana kama ulikutana na watu wengine wakajitambulisha wanatoka kwetu. Kwa hakika piga simu 0715737302 ama 0784 737302 utaongea na mkurugenzi wetu.
We have very competitive rates you will never have anywhere in Tanzania.
Karibu kwa maongezi na ujionee mwenyewe badala ya kusikiliza ya watu
Heshima kwenu wote,
jaman mimi nina Business Idea ila ndio nataka kuiweka kwenye uhalisia , ila bado nimeajiriwa kwasasa . Kama mnavyojua kazi za kuajiriwa muda huwa hakuna kabisa , na pia mimi sio Mtaalam wa mambo ya Biashara nimekaa kuliko kujikakamua kuandika Business plan na ikawa iko chini ya kiwango , Nawaomba kama kuna mtu anawajua waataalam wa uandikaji wa Business Plan za ukweli mnifahamishe . Kuna mmoja niliwasiliana nae niliona advert yake kwa gazeti lakini iaonekana ni mizinguo.
ahsanteni naomba kuwasilisha kwa wadau wote.
Wataalamu wa business plan nawatafuta (kampuni)
Nimeshaiandika nataka tu wataalamu wa kuihakiki na kuifanyia marekebisho kidogo msaaada kwa wenye kujua wanijulishe
Tafuta hii software Palo Alto Business Plan. Hii software ni the mother of all softwares when it comes to business plan everything SWOT analysis break even na kuna samples za plan za indrustries zote ambazo you can update it kwenye net..., nilikuwa nayo kipindi fulani ingawa inauzwa ila am sure kuna pirated copies..., try ask invisible au uliza mtu ambaye anayo... hii ni website for more info au google for Palo Alto Business Software Business Plan Software and Marketing Plan Software — Palo Alto Software
Tafuta hii software Palo Alto Business Plan. Hii software ni the mother of all softwares when it comes to business plan everything SWOT analysis break even na kuna samples za plan za indrustries zote ambazo you can update it kwenye net..., nilikuwa nayo kipindi fulani ingawa inauzwa ila am sure kuna pirated copies..., try ask invisible au uliza mtu ambaye anayo... hii ni website for more info au google for Palo Alto Business Software Business Plan Software and Marketing Plan Software — Palo Alto Software
Jamani wana jamvi wezangu naombeni mawazo yenu. Tuko vijana wawili tunataka kuanzisha kiji kiwanda cha kukamua mafuta ya alizet mkoani Dodoma. Tulipo fikia ni kwamba tunajua bei za machine ambazo zinaitajika pamoja na bei zake. je kuna mtu ana some experiance juu ya maswala haya ili tuweze kujuzana na tupate mwangaza.