Mchanganuo wa Biashara (Business Plan) - REQUESTS

Mchanganuo wa Biashara (Business Plan) - REQUESTS

NATAFUTA DEEP FRYER INAYOTUMIA GESI KWA ANAYEFAHAMU ZINAKOPATIKANA ANIJUZE

NINAHITAJI KWAAJILI YA KUCHOMEA CHIPS

ANAYEJUA PLIAZE TUPEANE CONTACT


0767 37 08 02
0789 37 08 02
 
SAMAHANI NDUGU ZANGU. NAULIZIA UTARATIBU WA BIASHARA YA ALIZETI KULETA DAR. NAOMBA KUELIMISHWA.
 
BEI YA MASHINE YA ALIZET NASIKIA KWENYE MIL 15 COMPLETE. ANAEJUA ZAIDI ATUSAIDIE UTARATIBU NA MBINU ZAKE.
 
NDUGU ZANGU MWENYE MAWASILIANO NA EMMA LUKOSI ANIJULISHE NINA SHIDA NAYE KUBWWA.
 
Mkuu hongera, mimi niko kwenye biashara ya alizeti tayari. Je unataka business plan ili ukope au ni kwa ajiri ya upembuzi yakinifu ktk kutaka kujiridhisha na kuona kuwa biashara inalipa?

Nakushauri usome website hii: www.entrepreneurmag.co.za

Watakusaidia sana katika kuandaa huo mchanganuo na vitu vingine vingi
Mbona hakuna msaada kwa link hiyo?
 
Hakuna neno just try to PM invisible labda anayo kwenye stock yake..., I highly recommend anyone anayeandika business plan kuwa nayo hii, kila kitu from marketing to financial aspects...., uzuri ni kwamba unapata sample ya industry yako, wewe unachofanya ni editing peke yake
Invisible ni nani ?? Nami naitaji ndugu
 
Hapa Mshangano Songea ni mji unaokuwa kwa kasi na kuna wakuma wa alizeti wengi tu.Lakini hakuna kiwanda cha alizeti.Watu wanahangaika kuvusha ng'ambo kwa Gasa.Karibuni kuwekeza.Nipo tayari kukusaidia na kuwa mwenyeji wako.
 
Hii Sssrc mbona mmeingilia thread ya jamaa hao? Sijawaelewa atiii
 
Dear Caroline,

Nasikitika sana kwa kutoa habari zisizo na ukweli. Hatujawahi hata kumtoza mtu hata zaidi ya 5% na sijui hizo rate zako umezipata wapi.

Pole sana kama ulikutana na watu wengine wakajitambulisha wanatoka kwetu. Kwa hakika piga simu 0715737302 ama 0784 737302 utaongea na mkurugenzi wetu.
We have very competitive rates you will never have anywhere in Tanzania.

Karibu kwa maongezi na ujionee mwenyewe badala ya kusikiliza ya watu
Siyo BP tu tuelekezane hadi mradi kukamilika. Makaratasi na maandishi ni sehemu ndogo ya mradi mara nyingi yanaishia kwenye stuli baada kufika kwenye cliff. Tunahitaji madaraja ambayo nyie ndiyo mnatakiwa kwenye mho mchongo mzima
 
Heshima kwenu wote,

jaman mimi nina Business Idea ila ndio nataka kuiweka kwenye uhalisia , ila bado nimeajiriwa kwasasa . Kama mnavyojua kazi za kuajiriwa muda huwa hakuna kabisa , na pia mimi sio Mtaalam wa mambo ya Biashara nimekaa kuliko kujikakamua kuandika Business plan na ikawa iko chini ya kiwango , Nawaomba kama kuna mtu anawajua waataalam wa uandikaji wa Business Plan za ukweli mnifahamishe . Kuna mmoja niliwasiliana nae niliona advert yake kwa gazeti lakini iaonekana ni mizinguo.

ahsanteni naomba kuwasilisha kwa wadau wote.

Tuwasiliane kwa namba hii 0658 977 330 au 0772 977 330. Ndani ya wiki moja baada ya kupata data za biashara yako, business plan itakuwa tayari na ya kiwango cha juu ambacho utaweza kupeleka kwenye benki yoyote ile kama unahitaji mkopo.
 
Wataalamu wa business plan nawatafuta (kampuni)
Nimeshaiandika nataka tu wataalamu wa kuihakiki na kuifanyia marekebisho kidogo msaaada kwa wenye kujua wanijulishe

Tuwasiliane kwa namba hii 0658 977 330 au 0772 977 330
 
Tafuta hii software Palo Alto Business Plan. Hii software ni the mother of all softwares when it comes to business plan everything SWOT analysis break even na kuna samples za plan za indrustries zote ambazo you can update it kwenye net..., nilikuwa nayo kipindi fulani ingawa inauzwa ila am sure kuna pirated copies..., try ask invisible au uliza mtu ambaye anayo... hii ni website for more info au google for Palo Alto Business Software Business Plan Software and Marketing Plan Software — Palo Alto Software

mkuu hii software naipateje?nimejaribu kuidownload manual nashindwa
 
Tafuta hii software Palo Alto Business Plan. Hii software ni the mother of all softwares when it comes to business plan everything SWOT analysis break even na kuna samples za plan za indrustries zote ambazo you can update it kwenye net..., nilikuwa nayo kipindi fulani ingawa inauzwa ila am sure kuna pirated copies..., try ask invisible au uliza mtu ambaye anayo... hii ni website for more info au google for Palo Alto Business Software Business Plan Software and Marketing Plan Software — Palo Alto Software

mkuu VoiceOfReason umepotelea wapi mkuu?
 
Jamani wana jamvi wezangu naombeni mawazo yenu. Tuko vijana wawili tunataka kuanzisha kiji kiwanda cha kukamua mafuta ya alizet mkoani Dodoma. Tulipo fikia ni kwamba tunajua bei za machine ambazo zinaitajika pamoja na bei zake. je kuna mtu ana some experiance juu ya maswala haya ili tuweze kujuzana na tupate mwangaza.

Karibu kwa huduma ya WRITEUP za miradi kama huo wenu; mnaweza kujiandalia wenyewe kwa kucheki templates, ila mimi nitawaandikia kwa uhalisia zaidi na mtapata wasaa wa kuuliza maswali nami nitawaelekeza vema kwa bei nafuu. Karibu 0692138944
 
Back
Top Bottom