Mchanganuo wa Biashara (Business Plan) - REQUESTS

Karibu sana na napenda kuwaaambia kwamba we have the best rates ever in town.

Na sasa tuko kwenye promotion the first 16 client will get 50% discount of the normal rate. kesho will tell more about this offer

karibuni sana
Sawa mkuu

Kwahiyo ninyi mnamuandalia mteja Business Plan au mnamfunza jinsi ya kuandaa? Yaani mnatoa training?
 
Mkuu mnatoa training ya jinsi ya kuandaa Business plan au mnamuandalia mteja na kumuuzia?
 
Habar jf
Inshort nafuatilia mambo mengi sana na kufanya baadhi pia ambayo yamekua yakiniingia akilini hasa yanayohusiana na uchumi!!
Licha ya kuwa najihusisha na business bado sijafanikiwa kujua kwa undani "Nini maana ya business plan"??
Labda naifanya pasipo kujua...inafikia hatua watu wanauza business plan walizoziandaa!!
Sasa najiuliza hii business plan n nini??... Inafaida gan?
Inaandaliwaje??.... Inatakiwa iwe na vigezo vip ili ikidhi vigezo vya kuitwa business plan!!?
Wakuu nawakilisha
Shukran
 
Nimefanikiwa kuanzisha NGO moja hivi. Basi mwaka jana nikatinga Seattle kwa mwaliko wa Bill Gates Foundation. Kitu cha kwanza nikaombwa Business Plan ya NGO yangu; maweeee nikagundua sina. Nikaambiwa kesho njoo na ideas kamili za business plan ya NGO yako. Mkuu sikulala usiku mzima niko naongea na Google. Kesho nikatinga laivu na nikasema ukweli kabisa kuwa sikujua kama nilikuwa nahitaji kuja na business plan ila mawazo yangu makuu ni haya. Basi nikawapa a=>z. Wakatingisha vichwa lakini nikapewa wiki mbili nikae hapo hapo Seattle niandike hiyo business plan mpaka ikamilike....

Nakushauri kama una muda Ingia Google halafu bofya Business plans. Utapata habari zote mpaka samples na Templates kabisa....

Kila la heri....
 
nikama muongozo au dira ya biashara yako.kitu km hicho nashindwa kutafuta kiswahili chake.yaliyomo baadhi ni km

1.business nature/kind
2.business location
3.business consumers
4.compititors of ur business
5.how u run ur business and gain profit
6.ur business challenges and how u overcom those challenges.

hayo ni baadhi tuu machache sanaaaa
 
Naomba msaada WA kuisoma na kuijua hii bussinees plan ipoje naomba nitumiwe nione jinsi ilivyo mwenye nayo
 
Nataka kufungua biashara ya kiwanda cha maji need a business plan
 
s
awa
 
Habari wana jamvi!!!!
rejea kicha ya uzi huu,,, nahitaji msaada jinsi ya kuandaa business plan au organisation profile ,,, mwenye sample akinitumia itakua vyema sana
 
Naombeni Mwenye mfano wa andiko la mchanganuo wa kuanzisha ufugaji kuku wa kisasa anisaidie
 
Wabongo tunapenda vitu vya bure ktk mambo ambayo wengine ni kazi... Utadhani tunaomba maji ya kunywa nyumbani kwa mtu... Kumbe wenzio wamewekeza mda, maarifa na pengine wanalipa kodi serikalini, kodi ya pango nk. Watanzania ukiona kuna maarifa huna na unahitaji sana, tuache kudhania mawazo ya burebure ndio muokozi, yes yapo mambo ya kusaidiana, lakini sio yale ya kiundani kabisa mfano mtu anaomba apewe business plan ya mtu ili yeye aagilizie? Tabia ya wapi hii? Tumetoka nayo mashuleni tulipokuwa tunaigilizia majibu ya mitihani, na mtu alikuwa akikunyima unakasirika na kumsema, ...any way vema tukasaidiana na pale inapobidi tuchangiane kinachopangwa... Kama hujui kuandika Bplan, hata ukipewa sample ni kazi bure.
 
Habarini wakuu, napenda kujifunza juu ya Machine za Unga za Tanzania na zile za China zinatofautiana nin?!
Ubora wake ukoje!kama mtu anaanza biashara hii ya kutengeneza Unga utamshauri aanze na machine zipi!?
Ukizingatia lengo ni kiwanda kidogo lakin kinachozingatia ubora wa hali ya juu! Kuuza bila mipaka! Tanzania na nje ya Tanzania!
Naombeni ushauri
 
Kazi ipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…