Mchanganuo wa Biashara (Business Plan) - REQUESTS

mkuu nilikuwa nilivyoanza kusoma nilifikiri utaelezea kwa undani kuhusu hili suala lako lakini haujawa sawa sana kama vipi mkuu andika vizuri mimi ntakuwekea kwenye blog yangu na utapata msaad kwa hilo suala lako
 
mkuu funguka japo kidogo utupe mwanga angalau.......
 
As a Partner Organization to International Labour Organization (ILO), Genesis Consult embarks on training potential and existing entrepreneurs for Generate Your Business Idea (GYBI) and Start Your Business (SYB) Programme, which will assist to harness your entrepreneurial spirit by implementing your Business Model.

Genesis Consult offers a customized 3 to 4 Day Programme to assist potential entrepreneurs to Generate a Business Idea or develop a Business Plan. This Programme is facilitated with materials from the International Labour Organization (ILO).

For product enquiries and related information, contact us by:

Phone: +255 684 524 171

Email: enquiries@genesisconsult.net

Website: Genesis Consult | "Today's Idea, Tomorrow's Solution"
 

Attachments

Wapendwa habari za mchana,
Naomba msaada hapa jamvini. Nataka kuandika business plan kwa ajili ya kabanda nakotaka kuanzisha mwakani. Mtaalamu mwenye mauzoefu na haya mambo hapa jamvini awezaye kusaidia hapa.
Nasubiri msaada wenu
EM
 
Ni pm nikupe majambo. Ila utoe na aina ya business, kapital na other info muhimu khs biz yako.
 
Jaribu template hii mkurugenzi na usianze kwa kujizalau kwanini unasema kakibanda? nataka kuanzika a biggest company in Tanzania ulitakiwa kusema hvyo we tajiriiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!?????????????????

The executive summary is the most important part of the business plan. Many people will only read this. The summary in itself will not secure an investor, however, it can loose them.

Quality - the quality of the summary must therefore be outstanding and you should pay particular attention to it. Obtain critical feedback from others on your drafts.

Stand-alone - it is also used as a stand-alone document when introducing the project to others so it must be able to capture interest and entice the reader to take the next step and request more information - and secure a meeting.

Style – cogent and terse. It should be direct and organized as a series of bulleted paragraphs, each deals with one key area. No waffle.

Length - ideally one page, and certainly not more than two pages.

Content - it needs to:

  • Introduce the project in terms of what area it is concerned with, what it is trying to do, and list the key individuals and advisors involved
  • Describe the stage the project reached particularly in terms of the "readiness for market" of its products, or product concepts, and outline any intellectual property, such as patents, that may support the products
  • Highlight the main market characteristics, including size and growth, and specify the market opportunity that you are addressing
  • State the central competitive advantages of your products and/or processes, how distinct they are from the competition and in what way, and how these are important to customers
  • Summarize the objectives of the company in the short and long term, and quantify these with specific numbers. Outline the key strategies you will use to achieve them
  • Include any "evidence of success" - this may be trade reviews, analyst comments, sales or partnership agreements, working prototypes, market testing, etc. which help to make the project more tangible to the reader and raises confidence in the project
  • Highlight any other key issues that should be noted
State your finance requirements and what stake in the company is available for this (see Financial Structure), and the planned exit strategy for the investor - i.e. how the investor will realize their return from the project. For more on this click Financing Structure
 
Heshima kwenu wote,

jaman mimi nina Business Idea ila ndio nataka kuiweka kwenye uhalisia , ila bado nimeajiriwa kwasasa . Kama mnavyojua kazi za kuajiriwa muda huwa hakuna kabisa , na pia mimi sio Mtaalam wa mambo ya Biashara nimekaa kuliko kujikakamua kuandika Business plan na ikawa iko chini ya kiwango , Nawaomba kama kuna mtu anawajua waataalam wa uandikaji wa Business Plan za ukweli mnifahamishe . Kuna mmoja niliwasiliana nae niliona advert yake kwa gazeti lakini iaonekana ni mizinguo.

ahsanteni naomba kuwasilisha kwa wadau wote.
 
Wazo lako linarudia wito wangu niliowahi kuutoa huko nyuma ambapo niliomba msaada huu; nafikiri tuweke wazi kuwa tuko tayari kulipia huduma hii
 
Kwanza niwashukuru kwa michango ya kimawazo ambayo inatusaidia katika mambo ya biashara. Naomba msaa kwa yeyote aliye na softcopy ya Mpango biashara wa kiswahili. Nategemea kuchukua mkopo wa milioni kama 30 lakini kuna vitu nimeona ni vya msingi walau kupitia kupata mwongozo kabla ya kuwashirikisha consultant. Nategemea kufungua mashine ya kukoboa na kusaga pamoja na kuuza sembe na mchele hapa Mwanza. Natanguliza shukrani.
 
Tulifika SIDO Dar es salaam, wakatushuri, wakatupa pamoja na bei za machines. pia waliyupa ushauri unaotaka kufanana na wakwako ila wao walituambia twende Morogoro pia kuna viwanda vingi around SIDO. BTW ahsante kwa ushuri.

SIDO wanauzaje set nzima ya mashine zao? Nasikia wahindi pia wana zakwao a bit cheaper ila sijui vizuri. Tuko pamoja.
 
The best mashine za kukamua alzet ni za Made in INDIA, hizi ni bora na zina power zaidi ya kupress mbegu za alzeti, hizi za SIDO si mbaya ila hazina power kubwa kama za india na hata hizo za INDIA zipo za saizi na bei tofauti zipo kubwa kabisa kwa ajili ya viwanda vikubwa na zipo ndogo kwa ajili ya viwanda vidogo

- Mashine nyingi za SIDO hazikamui mafuta kwa 100% namanisha zinaacha mafuta kwenye mashudu, ndo maana kama BABATI NA SINGIDA kina mhindi mmoja wa Arusha huwa ananunua mashudu na kuyakamua kwa mara ya pili na kupata mafuta yeye mashine zake ni more powerfull na zinauwezo hata wa kukamua suflower/KATAMU/ALZETI YA MIBA
 
wakuu nataka kuanzisha biashara ya kufuga kuku wa mayai,but cjui nianzie wap i've almost 2m cash,msaada pliz
 
Mkuu unataka utengenezewe bussines plan au ushauri tu...? halafu unalo eneo tayari
 
Weka mambo sawa! Unataka key points / tips kwa ajili ya B/Plan au wataka kuandikiwa? Uko sehemu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…