Mchanganuo wa Biashara (Business Plan) - REQUESTS

Best yangu anatafuta mtalaaam wa kuandika business plans aina mbalimbali, kama una experienceeee pls ni pm nikuunganishe, ila uonyeshe kweli unajua..unaweza kutuma kwasifu nk

thanks
 
nitafute kwa max.revocatus@yahoo.com tupeane ma experience because most of data will come from your friend.Good lucky
 
Best yangu anatafuta mtalaaam wa kuandika business plans aina mbalimbali, kama una experienceeee pls ni pm nikuunganishe, ila uonyeshe kweli unajua..unaweza kutuma kwasifu nk

thanks
Yeah naweza nipe kazi Ndugu yangu.
 
This is my day to day duty..nitafute 0767 940 494..nikusaidie
 
Wakuu habari zenu
Nilikuwa nahitaji uhakiki wa business plan yangu kutoka kwa wataalamu wa mchanganuo wa biashara
Biashara yenyewe ni sekta ya utalii
So naomba mnisaidie kuniambia ni kampuni gani wana deal na mambo ya business plan kwa dar es salaam ambazo zinakubalika na taasisi za fedha katika uwekezaji na ukopeshwaji...
Natanguliza shukrani
 
Mkuu ku hakiki sio ishu ishu ni hapo unapo ipeleka, maofisa wa mikopo wengi ni wasanii na wametengeneza Cartel, yaani wanataka Mchanganuo uandikwe na mtu wao, tofauti na hapo ni chenga
 
Wadau habari zenu?
Nahitaji mtaalamu/wataalamu wa kuandaa business plan, ambayo kati ya vitu vitakavyokuwemo vinahusika na kutoa huduma za afya kwa binadamu.

Nahitaji wazoefu waliokwishaandaa plans za wateja kadhaa (nitahitaji kutembelea ofisini kwao na pia nitahitaji nipate profile yao ikiwa ni pamoja na kujua baadhi ya wateja wao wakubwa waliokwisha wafanyia kazi hiyo ili nikahakikishe ubora wa kazi yao kutoka kwa wateja wao).

Only serious and competent experts needed!

ASANTENI!
 
Mkuu ishu ya Business Plan ni ishu muhimu sana, na kosa tunalo fanya ni kuzani waandaaji wa Business plan wanaweza kaa ofisini wakakuandalia plan.

Tatizo tunandaa BP kwa ajili ya Benk tu that is why, Ila kiuhakika Business plan ni dokoment muhimu sana kwa ajili ya Biashara zako,
1. Hutumika kama mwongozo wa wewe kufanya shuguri zako

2. Wanao taka kuingia nao Ubia wanaweza ihitaji

3. Benk

So business plan yako unatakiwa hata wafanya kazi wako uwasomee na waijuie make ndo itakayo waongoza katika kufanya kazi, inahitajika wakati wa kunadaa business plan ni lazima research ifanyike, na sio mtu ake ofisini tu na kuandaa, na wanacho fanya waandaa hii kitu ni Editing,
 

Uko sahihi kabisa.
Mtu unapotaka kufanya biashara yoyote ile ni lazima uandae STRATEGIC PLAN ambayo haiwezi kuwa comprehensive & effective kama hujafanya kitu kinaitwa SWOT analysis (S=Strengths, W=Weaknesses, O=Opportunities & T=Threats).
Refer: SWOT Analysis: How to perform one for your organization - YouTube

Sasa mimi nahitaji wataalamu waniandalie (japo najua ninaweza kuwapatia inputs because I am aware of the basics of such kind of a thing), mimi nahitaji niwe naweka targets zangu tu then watendaji wawe wanajipanga watafikiaje hizo targets (waibe, wasiibe hainihusu). Kama nimepanga by 2014 niwe na total assets zenye thamani ya 5x my current capital then nikajikuta napata 6X my current capital na wakati huo huo wakawa wameiba sana tu - wala sintojigusa, kwa sababu malengo yangu yatakuwa yametimia! Tatizo wabongo huwa tunataka tukabe hadi penalt!

So, I need competent planners!
 

El Che,
Kuna umuhimu wa kuhakikisha maisha ya biashara yako. Iwpo utaachia wafanyakazi wakuibie kuna hatari kuwa wakakuibia wateja na kuondoka nao kwenye biashara nyingine. Kumeet target sio kitu pekee unachohitaji kwa sababu target yako utaimeet lets say kwa miaka miwili, sasa iwapo mwaka unaofuata kampuni itakufa kwa kukimbiwa na wafanyakazi walioiba kiasi cha kuwawezesha kufungua makampuni yao na kukimbia na wateja then utakuwa umepata hasara. kumbuka kuwa wafanyakazi wako ndio wanaodeal na wateja on daily basis, wewe wateja hutawafahamu. Kwahiyo unaweza kujikuta unahitaji kuanza upya na wanaweza kukuachia madeni ambayo yalijificha au migogoro. Kimsingi kwenye biashara kubana hadi penaly ni muhimu...
 
Hongera kwa kuwa na mawazo ya kujitegemea; wasiliana na 0713-829588 ni wataalam wa kuandaa business plan
 

dokta naona upo serious sana ,natumaini utafanikiwa kwa jinsi ninavyokujua.
 
Wataalamu wa business plan nawatafuta (kampuni)
Nimeshaiandika nataka tu wataalamu wa kuihakiki na kuifanyia marekebisho kidogo msaaada kwa wenye kujua wanijulishe
 
ni pm, but am an independent consultant on such write-ups
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…