mama dunia
JF-Expert Member
- Dec 22, 2011
- 420
- 84
Best yangu anatafuta mtalaaam wa kuandika business plans aina mbalimbali, kama una experienceeee pls ni pm nikuunganishe, ila uonyeshe kweli unajua..unaweza kutuma kwasifu nk
thanks
thanks
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Best yangu anatafuta mtalaaam wa kuandika business plans aina mbalimbali, kama una experienceeee pls ni pm nikuunganishe, ila uonyeshe kweli unajua..unaweza kutuma kwasifu nk
thanks
Yeah naweza nipe kazi Ndugu yangu.Best yangu anatafuta mtalaaam wa kuandika business plans aina mbalimbali, kama una experienceeee pls ni pm nikuunganishe, ila uonyeshe kweli unajua..unaweza kutuma kwasifu nk
thanks
Bwana Magessa unapatikana wapi? Ningependa kufahamu gharama zako kabla sijakupigia. AhsanteThis is my day to day duty..nitafute 0767 940 494..nikusaidie
Mkuu ishu ya Business Plan ni ishu muhimu sana, na kosa tunalo fanya ni kuzani waandaaji wa Business plan wanaweza kaa ofisini wakakuandalia plan.
Tatizo tunandaa BP kwa ajili ya Benk tu that is why, Ila kiuhakika Business plan ni dokoment muhimu sana kwa ajili ya Biashara zako,
1. Hutumika kama mwongozo wa wewe kufanya shuguri zako
2. Wanao taka kuingia nao Ubia wanaweza ihitaji
3. Benk
So business plan yako unatakiwa hata wafanya kazi wako uwasomee na waijuie make ndo itakayo waongoza katika kufanya kazi, inahitajika wakati wa kunadaa business plan ni lazima research ifanyike, na sio mtu ake ofisini tu na kuandaa, na wanacho fanya waandaa hii kitu ni Editing,
Uko sahihi kabisa.
Mtu unapotaka kufanya biashara yoyote ile ni lazima uandae STRATEGIC PLAN ambayo haiwezi kuwa comprehensive & effective kama hujafanya kitu kinaitwa SWOT analysis (S=Strengths, W=Weaknesses, O=Opportunities & T=Threats).
Refer: SWOT Analysis: How to perform one for your organization - YouTube
Sasa mimi nahitaji wataalamu waniandalie (japo najua ninaweza kuwapatia inputs because I am aware of the basics of such kind of a thing), mimi nahitaji niwe naweka targets zangu tu then watendaji wawe wanajipanga watafikiaje hizo targets (waibe, wasiibe hainihusu). Kama nimepanga by 2014 niwe na total assets zenye thamani ya 5x my current capital then nikajikuta napata 6X my current capital na wakati huo huo wakawa wameiba sana tu - wala sintojigusa, kwa sababu malengo yangu yatakuwa yametimia! Tatizo wabongo huwa tunataka tukabe hadi penalt!
So, I need competent planners!
Business plan ina sehemu kuu nne nazo ni Excutive summary,marketing plan,financial plan,na human resources plan.Naomba ufafanuzi wa jinsi ya kuandaa mchanganuo wa biashara
Wadau habari zenu?
Nahitaji mtaalamu/wataalamu wa kuandaa business plan, ambayo kati ya vitu vitakavyokuwemo vinahusika na kutoa huduma za afya kwa binadamu.
Nahitaji wazoefu waliokwishaandaa plans za wateja kadhaa (nitahitaji kutembelea ofisini kwao na pia nitahitaji nipate profile yao ikiwa ni pamoja na kujua baadhi ya wateja wao wakubwa waliokwisha wafanyia kazi hiyo ili nikahakikishe ubora wa kazi yao kutoka kwa wateja wao).
Only serious and competent experts needed!
ASANTENI!