Mimi nimebobea kwenye uandishi wa Business Plan lakini hata bado nikiwa bado najifunza sijawahi kuandika business plan kwa kati ya 20,000 na laki mbili. Serious business plan lazima iendane na feasibility study hata kama unazotemplates za kutosha. lazima ujiridhishe unachooandika kinaendana na reality on the ground so nadoubt kubwa sana na the so called Proffessional Business Plan kwa kati ya 20,000 na laki mbili
Mkuu hongera, mimi
niko kwenye biashara ya alizeti tayari. Je unataka business plan ili
ukope au ni kwa ajiri ya upembuzi yakinifu ktk kutaka kujiridhisha na
kuona kuwa biashara inalipa?
Nakushauri usome website hii:
www.entrepreneurmag.co.za
Watakusaidia sana katika kuandaa huo mchanganuo na vitu vingine
vingi
Mimi nipo dar es salaam,wilaya ya kinondoni,jimbo la ubungo,Kata ya msewe.
Nahitji kuandikiwa business plan kwa ajili ya company yangu.
Nipigie +255768811075
Naitwa juma Tearish.
Hongera mkuu.