KIDUDU
JF-Expert Member
- Sep 17, 2012
- 2,557
- 1,927
Mimi nimebobea kwenye uandishi wa Business Plan lakini hata bado nikiwa bado najifunza sijawahi kuandika business plan kwa kati ya 20,000 na laki mbili. Serious business plan lazima iendane na feasibility study hata kama unazotemplates za kutosha. lazima ujiridhishe unachooandika kinaendana na reality on the ground so nadoubt kubwa sana na the so called Proffessional Business Plan kwa kati ya 20,000 na laki mbili
Ajira hakuna mkuu, hiyo inaitwa vuna vuna au pesa chap chap. Makanjanja wapo wengi dunia hii