Mchanganuo wa Biashara (Business Plan) - REQUESTS

Mchanganuo wa Biashara (Business Plan) - REQUESTS

asante kwa kuwa na moyo wakukomboa vijana kwa bei zenu za chini .Jambo muhimu ni kufanya kazi kwa uaminifu na kukamilisha kile mteja anahitaji kwa muda mfupi

Mkuu we are doing our best, nadhani kwa vijana this is the best time to utilize professionalism in business planning and implementation. Karibuni tena na tena, our ofisi is open from monday to friday, come and try us.
 
khabari wadau! Ninataka kuandika mradi wa biashara(mchanganuo) kuhusu mambo mbalimbali ya msingi (hints) kwa yeyote mwenye ujuvi! Cha muhimu ni hints SHUKRUNI KWENU!
 
Hapa unataka hints za namna gani? Mtitiriko wa write up yako? Au kupewa ushauri wa kitaalamu? Na unataka kuandika kwa matumizi gani?
 
Hivi wadau hata mamantilie anahitaji b.plan
au.......
 
Kwa maoni yangu kila mtu mwenye mipango endelevu ya ukuaji wa biashara yake anahitaji biz plan japo kwa mama ntilie yaweza kuwa simple tu...

i want to open an online shop selling books, magazines and music.. do i need one?
mnatoa na ushauri, mnaishia kuandika tu hayo mambo?
 
i want to open an online shop selling books, magazines and music.. do i need one?
mnatoa na ushauri, mnaishia kuandika tu hayo mambo?

Mkuu, tunatoa ushauri, tunaandika hizo plan na proposal na tunafanya mambo mengine mengi. Karibu oficini kwetu ama tuma email na tumia simu kama inavyojionyesha katika tangazo...

Karibu sana mkuu.
 
Tutakutafuta soon!mimi nataka buz plan 2!moja ya ufugaji wa kuku wa kisasa wa mayai na nyama naingine ya transport!nitaanza na Kuku kwanza!nitakutafuta Mkuu!
 
3_business-plan-pro.jpg

Product Features

Over 500 editable sample business plans included for all sorts of businesses; find a sample plan and use it as a guide to write your own
Easy step-by-step instructions and expert guidance every step of the way; get from start to finish in less than 15 steps
Built-in market research for 9,000+ industry profiles; compare your projections to industry averages
Printed and electronic document output options in SBA and lender-preferred formats; export to Microsoft Word or Excel, or to Adobe PDF format
Includes streamlined plan setup,
New options for simpler business plans, Spanish language support, certification for Windows Vista, and an improved user interface


Please contact:

Gerald. A
Marketing Director

P +255 684 579305 | +255 656 579305 | +255 757 579305
E wigotz@gmail.com
A P.O. Box 76221 Dar es salaam, 14112 | Tanzania
Visit us at www.wigomedia.blogspot.com
Follow us News | Facebook | Twitter
 
Habari wana Jf.
Nimejaribu kwa kadri ya uwezo wangu kuandaa wazo la biashara (business plan) ila nahisi kuwa ninakosea.
Tafadhari wanataaluma nisaidie hata zile general principles ili niandike andiko hili.
Tayari ninawazo, kuliweka katika maandishi imekuwa tatizo.
Nisaidieni bila dhihaka.

Ingia on line kuna miongozo ya kuandika.
 
Habari wana Jf.
Nimejaribu kwa kadri ya uwezo wangu kuandaa wazo la biashara (business plan) ila nahisi kuwa ninakosea.
Tafadhari wanataaluma nisaidie hata zile general principles ili niandike andiko hili.
Tayari ninawazo, kuliweka katika maandishi imekuwa tatizo.
Nisaidieni bila dhihaka.

Nmependa idea yako,biashara yeyote huanza na wazo, mpangilio wa wazo na mwisho biashara katika reality! Business plan inategemea unaandika bankable au ya kawaida! Mimi huwa naandika business plan kwa wingi....ncheki kwa 0713659828 au ingia ujasiriamali uatankuta
 
Kaka wewe ndio unaijua biashara jee unadhani ukimpa mtu akuandikie busines plan ataweza kuunganisha ulewo wako na maneno yake?

Ushauri wangu unaweza kufanya hili mwenyewe. Nitumie inbox na nitakusaidia mwanzo mpaka mwisho kukushauri. Kuna mambo lazima uyajue, kwanza uandike executive summary ambayo itaelezea kwa ufupi unafanya nini na unataka kiasi gani, kisha kuna mambo mengine mengi. nitumie short msg na nitakuguide through. FREE
 
Back
Top Bottom