Mchanganuo wa Biashara (Business Plan) - REQUESTS

usikose somo hili la business plan kwani naimani utapata kitu mara baada ya kumaliza kuielezea plan nzima. Usisite kuuliza kwani najua sio wote tunajua kuandika business plan.
0713659828
 
business plan ni mwongozo unaotoa dira na jinsi biashara nzima itakavyokua inaendeshwa na itakuwa inajihusisha na nini,pia ni kwa namna gani mzunguko wa fedha utakavyokuwa.
Business plan outline!.....
1.cover page
2.executive summary
3.business description,
4........(waiting for your comment)

Mwongozo mwema, nimategemeo yangu kuna machache ya kujazia, na mbinu za ziada kufanya bp iwe na uzito. Kama hutojali kuitanua elimu utupayo, kukidhi viwango vya benki.
 
Hivi mpesa na tigo pesa inahtaji hii ki2.

Habari!
Biashara ni kazi ya kiuchumi ambayo inahusisha exchange ya vitu vyenye thamani halali. Kwa maana hiyo hata tigo pesa ni biashara. Tambua kuwa moja ya sehemu katika business plan ni cash flow/mzunguko wa fedha! Tigo pesa in cash flow statement na ndip maaana mwisho wa siku unaangali kilichoingia na kilichotoka!
 
Mwongozo mwema, nimategemeo yangu kuna machache ya kujazia, na mbinu za ziada kufanya bp iwe na uzito. Kama hutojali kuitanua elimu utupayo, kukidhi viwango vya benki.

1.Cover page:
Hii ni sehemu ya nje ya business plan...hapa utaandika jina la biashara,picha za bidhaa, anuani kamili na namba za simu za biashara/mmiliki.
2.Executive summary:
Hapa utatakiwa kuandika business plan yote kwa ufupi!
Kuna Swali......?
 
Mkuu ingekua vema kama ungeanza na sehemu kuu (chapters) za business plan kabla hujaanza kuelezea kila part inavitu gani/
 
Mkuu nakukubali sana, kwenye habari ya biashara uko-juu.
Kama nimekupata kitu cha kwanza kuandika cover page kisha unaruka ES unaandika mwisho maana ni mukhtasari wa BP.

Executive summary ni kweli kabisa ndio sehemu ya mwisho katika uandishi wa plan. Kuna namna yake ua uandishi ambayo itakulazimu kuchukua katika sehemu kuu za plan.....
 
Mkuu ingekua vema kama ungeanza na sehemu kuu (chapters) za business plan kabla hujaanza kuelezea kila part inavitu gani/

Usijari ndugu tutafika tu!....
CHAPTER ONE.
BUSINESS DESCRIPTION.
Hapa ndipo unaanza kuichambua biashara yako yaani,,,,ipo wapi,inafanya nini kwa watu gani na ina maono gani. Pia aina ya umiliki. Lakini iwe in brief.....
 
Mkuu itakua vema kwa mtazamo wangu ukipost chapter nzima kisha unaidadavua, darasa litakua zuri zaidi, wengine umri umetupita kidogo.
 
Usijari ndugu!
Wanasema too much is harmful!
nmeamua kwenda kidogo kidogo ili watu waweze kufuatilia vizuri!
 
1.0 EXECUTIVE SUMMARY 1.1 The project plan being considered in this document is for XXXXX LIMITED who has decided to embark on establishing mobile camping activities, tour operator and ground-handling business by purchasing new vehicles for tour operations and tents
for camping business. Its objective is to become one of the best performing companies in this competitive tourism environment. The project also intends to construct an office, workshop and camping storage facilities to facilitate smooth operation for newly established project to be effective as intended. Starting with an attractive portfolio of business contacts with a select number of international travel agencies; XXXXX’s strategy is to leverage on its unique blend of capabilities in local operational management skills, knowledge of and contacts in the East Africa especially Nairobi and Arusha regions with its international contacts.
 
Remember;es has to provide the picture of the plan in summary form startng from the business description to the financial analysis!
 
Mkuu, ofisini kwetu tunahitaji kutengenezewa/ kuelekezwa kutengeneza strategic plan, inawezekana mkafanya?
 
tunaendelea tena na somo letu na samahani sana kwa kutoendelea na posts....majukumu!
2.MARKETING PLAN.
2.1.market research
Hapa fanya research kujua aina ya biashara unayoifanya ni kwa kiasi gani imeenea na kukubalika sokoni,anza kwa taifa na kisha eneo lako la biashara. Hapa utahitaji kusoma takwimu na kuuliza wahusika.
2.2.makert analysis
Je,mara baada ya kufanya research,umeona ni aina ya biashara ambayo itakufaa? Chambua vizuri hizo taarifa ulizopata ili kujua ni kwa jinsi gani utaingia na kuendesha biashara katika mazingira hayo.
2.3.market opportunitities
Je,kuna fursa?kama hamna utafanyaje kuzitengeneza?
2.4.market strategies
Panga mikakati ya kukuwezesha kufanya biashara yako na hapa utaangalia vitu vifuatavyo:
2.4.1. Bidhaa/product/service
2.4.2. Bei/price
2.4.3. Promotion/kujitangaza
2.4.4.Place/sehemu ya biashara
2.4.5. People/targeted market
2.4.6.Process
2.4.7.Physical evidence
Hizi kwa ujumla huwa zinaitwa 7Ps.
 
Mkuu habari naona kuna vitu umeruka kidogo ngoja nichangie muongozo:

Cover Page

1: Executive summary :- Objectives, Mission, Key to success

2: Company Summary:- Company Ownership, Start-up summary and Company location and facilities

3: Product/Service:- Product/service description, Competitive comparison, Sourcing, Technology, Future product/service

4: Marketing analysis summary:- Market segmentation, Target market segment strategy ( market trends, market growth, market needs), Industry analysis (distribution patterns, competitive and buying pattern, main competitors, industry participants).

5: Strategy and Implementation summary:- Strategy pyramid, Value proposition, Competitive edge, Marketing strategy(promotion, strategy, distribution strategy, marketing programs, position strategy, pricing strategy), Sales strategy ( sales forecast, sales programs), Strategic alliances, Milestone.

6: Management summary:-Management team, Management team gaps, Organisational structure, Personnel plan

7: Financial Plan:- Start-up funding, Important Assumptions, Key financial indicators, Break even analysis, Projected profit and loss, Projected cash flow, Projected balance sheet, Business ratios (ratio analysis) Exit strategy

Kuna viongozeo vingine nimeacha ambavyo si muhimu sana. Ila kama ukifata mtirirko huu utapata the best business plan. Pia kwa kumalizia siyo kila nilichoambanisha hapo juu unaweza kukitolea maelezo ila jaribu kuvielezea kadri ya uwezo wako. Ahsante
 
Ahsante mkuu nimekuelewa!
Lakini katika kuandika bankable business plan,baadhi ya vipengele vinakuwa ndani ya title moja,kwa mfano; marketing plan...hapa kama nilivyoeleza mwanzo,kuna vpengele viko katika title hii. Pia business description ni title ambayo utaandika jina la biashara,sehemu ilipo,bidhaa,umiliki,aina ya biashara.
Kumbe basi tunashauri,unapoandika plan ni vizuri ukaweka title kama zingine ulizozitaja,mfano financial plan....hii ni title inayojitegemea!
Hebu twende taratibu,tutafika tu na nakaribisha michango na maswali pia
 
Back
Top Bottom