Shomary47
JF-Expert Member
- Feb 12, 2021
- 233
- 359
Nawasalimu kwa jina la muungano wa Jamhuri ya Tanzania,
Nimekua nikifatilia threads mbalimbali za biashara humu, Wengi naona wanasema ili kuingiza faida kubwa Kwa siku basi ni lazima Uwe na Mtaji Mkubwa, wengine walitoa mifano ya Anaemiliki duka la hardware ana mtaji nkubwa lakini hafikishi faida kadhaa.
Leo napenda Kutolea Mifano ya biashara ya kusambaza mayai ya Kisasa kwa wateja/watumiaji tega sikio Vyema.
Biashara Yoyote ya Kumtafuta mteja ukamuhudumia inakua na mzunguko mkubwa, So tukianza na biashara ya Kusambaza Mayai, apa utatakiwa kuwa na mtaji wa Millioni 6 (6,000,000). Hapa utatakiwa kununua Pikipiki used kwa Dar ziko nyingi, hakikisha tu unapata mali halali, Pikipiki hizi utazipata kwa Laki 8 kila moja (used) 800,000 x 3 = 2,400,000/=
Pesa kwaajili ya fremu yako ya biashara, Tafuta eneo lenye Mzunguko mkubwa wa watu, mfano karibu na soko au Stendi. Aoa kodi utalipa elf 80,000 kwa mwezi. Utalipia kodi ya miezi mitatu ambayo ni 80,000 x 3 = 240,000/=
Then tafuta meneja masoko wako na vijana wasambazaji. Wewe na meneja masoko wako mtahakikisha mnapata machimbo ya wafugaji ambapo mtapata mayai Kwa bei ya jumla yakutosha, hakikisha unakua na Machimbo hata matano Ya uhakika. Hapa tenga 3,500,000/= kama mtaji wa Mayai.
Kwa Upande wa Wasambazaji Utawawekea Limit kila mmoja auze angalau trei 45 na zaidi kila siku. Na isiwe chini ya hapo. Hapa
Utawafanyia training kuhusu marketing, jinsi ya kumuaproach mteja na Kumbuka lazima uwe unajua target market Yako. na utawapangia maeneo ya kila mmoja kutembembelea. Mfano target market yako itakua wauza chips, Bekari, mahoteli, wauza maduka, wapika vitumbua n.k
So baada ya kufanya yote haya kazi zitaanza:-
Pikipiki 3:- @auze trei 45 na zaidi kwa siku
45 x 3 = 135(Jumla ya trei zinazotakiwa Kuuzwa Kwa siku)
kila trei moja faida itachezea kwenye 1,000 - 1,200
Na kuna baadhi ya trei zitauzwa pale pale ofisini tuseme trei 15 tu ziuzwe ofisini.
Jumla zitakua trei 150 mauzo ya siku.
150 x 1,200 = 180,000/=(Hii ni faida ya siku moja baada Ya kuuza hizo idadi ya trei)
Matumizi tunakadilia kwenye mafuta, chalula ni kama 25,000 kwa siku. Tukitoa inabaki 155,000/=
Ambapo ofisini kwako utalipa wafanyakazi kwa siku 31 ambao ni mwezi mmoja.
155,000 x 31 = 4,805,000 (faida)
Hapa tukitoa Matumizi, mishahara pamoja na hasara. itabaki kama 4,400,000/=(Hela ya bosi)
4,400,000 Monthly Profit.
NAKARIBISHA MAWAZO NA KUKOSOLEWA KAMA NIMEKOSEA ASANTE.