Mchanganuo wa biashara ya kuingiza faida ya 150,000/= kwa siku/ 4,400,000 kwa mwezi

Huo ni mchanganuo Wa biashara Ya kuuza mayai Kwa trei sio ya kuchemsha. Tunawauzia wachoma chips, bakery, maduka na mahoteli na sehemu Kote ambako mayai yanatumika
KAMA HUJAELEWA NILICHOMAANISHA, SIJAKATAA ILA KWA KUWA KULIKUWA NA HITIMISHO LA MAONI NA HAYO NDO MAONI YANGU.
 
Hiyo biashara iko risky sana kumbuka mayaye hupasuka kuna mambovu, pia vijana wa siku hizi huwezi kulipa 1000 azunguke siku nzima.
It always seems impossible until it's done.
 
Mnao criticize mtoe na sababu. Sio mnasema ujinga, Mara motovational speaker, Jenga hoja ya msingi na Yenye mashiko
Hujaweka bei ya ununuzi, gharama ya mayai kusafirishwa kutoka kwa mfugaji na kwenda kwa mteja, gharama ya utunzaji store endapo lengo la siku halijafikia, hujaweka mfumuko wa bei pale unapopanda wateja hupungua
 
Umewaza vizuri sanaa... Ila tafuta tu laki tatu... Ujiwekee kiwango cha kuuza tray kumi na tano kwa siku mwenyewe ukishaweza hilo, uje kuupdate uzi mkuu
Huyu Bwana yuko na wazo zuri ila anahitaji kulifanyia refining aongeze innovation zaidi na kisha aweke swaga kidogo then anaweza kutengeneza Milioni zaidi ya hizo kwa mtaji mdogo zaidi ya huo.Focus yake iko kwenye inventory kumbe hana haja ya kuwa na inventory anahitaji kuwa na reliable suppliers na mfumo mzuri wa malipo na uuzaji.
 
Wazo lako linaweza kutoka kuwa kilimo cha makaratasi na kutengeneza Handsome Money ukifanya mambo kadhaa.

Kabla ya yote uende kuwatongoza wateja mwenyewe kipi cha tofauti utawapa ili wahamie kwako...ukishawishi vizuri maeneo haya you will be Regent of Street
1)Kupunguza bei kila Tray
2)Delivering (kuwapunguzia usumbufu)

Ukitengeneza Permanent Clients kadhaa utachobakia kufanya ni kufyatua watoto tu.
 
Kweli kabisa maana akili ya darasani sio akili ya mtaani
 
Kweli kabisa maana akili ya darasani sio akili ya mtaani
 
Hongera brother great Idea kaka
 
Hayo mayai unamsambazia nani ambaye kila siku anahitaji mzigo mpya??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…