Mchanganuo wa gharama nilizotumia na michepuko mwezi huu

Mchanganuo wa gharama nilizotumia na michepuko mwezi huu

Twende wote

Nauli Musoma- Mwanza 10,000x2 20,000
Boda 2,000
Gest 30,000x2 60,000
Villa kumwona Choki siku 2 65,000
Sweta-Villa ilikuwa baridi 15,000
Tax 10,000
Misosi 7000xsiku 3 21,000
Vocha 3,000
Chakavu 40,000
Jumla ni 196,000
Hahahaha, mkuu kwahy hii ni bajeti ya kulalama ? Huyu mdada hata hivyo ni wa local kimtindo
 
Hiyo 7,000 ni siku nzima.
Na ni watu wawili.
Ndo maana kaandika 7,000 mara siku 3.
Sasa piga mahesabu mmenda vacation na baby msosi mnakula 7,000 kuanzia asubuhi mpaka jioni.

Bora nibaki kwetu nisugue sufuria zing'ae

Kwelii kabisaa Bora usugue sufuria inaelekea unanyota ya uhouse girl.
 
  • Thanks
Reactions: amu
Hiyo 7,000 ni siku nzima.
Na ni watu wawili.
Ndo maana kaandika 7,000 mara siku 3.
Sasa piga mahesabu mmenda vacation na baby msosi mnakula 7,000 kuanzia asubuhi mpaka jioni.

Bora nibaki kwetu nisugue sufuria zing'ae
Daah dogo we ni chizi..eti sufuria zing'ae ..!!
 
Mkuu mbona hakuna matumizi ya kutisha??
Kwenye vocha, msosi nauli hata mie nimewazidi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Siku nyingine jitahidi na ujifunze kutumia hela
Mbona hakuna posho? Mchepuko gani anayekubali bila posho [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
  • Thanks
Reactions: amu
Hiyo 7,000 ni siku nzima.
Na ni watu wawili.
Ndo maana kaandika 7,000 mara siku 3.
Sasa piga mahesabu mmenda vacation na baby msosi mnakula 7,000 kuanzia asubuhi mpaka jioni.

Bora nibaki kwetu nisugue sufuria zing'ae
Eti sufuria zing'ae khaaaaaah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
  • Thanks
Reactions: amu
Eti sufuria zing'ae khaaaaaah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kupunguza matumizi mabaya ya dhambi.
Yaani mtu ukiamua kutenda dhambi tenda hasa hata ukihukumiwa huko motoni unasema "naam hii kweli ni haki yangu"
 
Kupunguza matumizi mabaya ya dhambi.
Yaani mtu ukiamua kutenda dhambi tenda hasa hata ukihukumiwa huko motoni unasema "naam hii kweli ni haki yangu"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aseeeeh ila kweli loo
 
Duh,hyo elf 7 ni pamoja na vinywaji??
Kwani wakichukua Chips kuku unadhani ni sh ngapi??? Hapo bado asubuhi hajalaaa... Chakula gest kinakulaa sanaa helaa aiseee sio kawaidaa
 
Back
Top Bottom