chonjo Nation
Member
- Apr 25, 2020
- 48
- 43
amu naomba uni assist usile yoteMkuu mbona hakuna matumizi ya kutisha??
Kwenye vocha, msosi nauli hata mie nimewazidi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Siku nyingine jitahidi na ujifunze kutumia hela
Ndioooo,huu ubahiri kamfundisha MoDuh,hyo elf 7 ni pamoja na vinywaji??
si hiyo ya chakavuMbona hela ya mchepuko hujaweka hapo.au ulimkopa?
Hahahaha, mkuu kwahy hii ni bajeti ya kulalama ? Huyu mdada hata hivyo ni wa local kimtindoTwende wote
Nauli Musoma- Mwanza 10,000x2 20,000
Boda 2,000
Gest 30,000x2 60,000
Villa kumwona Choki siku 2 65,000
Sweta-Villa ilikuwa baridi 15,000
Tax 10,000
Misosi 7000xsiku 3 21,000
Vocha 3,000
Chakavu 40,000
Jumla ni 196,000
Hahahaha, labda anastahili mtoko huo, kuna mademu wengine hata hapo kwa Ali choki panamfaaYaani anamtoa mtu Musoma kwenda kumuona Ali choki.
Nimecheka mnoo
Hiyo 7,000 ni siku nzima.
Na ni watu wawili.
Ndo maana kaandika 7,000 mara siku 3.
Sasa piga mahesabu mmenda vacation na baby msosi mnakula 7,000 kuanzia asubuhi mpaka jioni.
Bora nibaki kwetu nisugue sufuria zing'ae
Daah dogo we ni chizi..eti sufuria zing'ae ..!!Hiyo 7,000 ni siku nzima.
Na ni watu wawili.
Ndo maana kaandika 7,000 mara siku 3.
Sasa piga mahesabu mmenda vacation na baby msosi mnakula 7,000 kuanzia asubuhi mpaka jioni.
Bora nibaki kwetu nisugue sufuria zing'ae
Ndiyo nyota ya uhaousegirl na upunda juu.Kwelii kabisaa Bora usugue sufuria inaelekea unanyota ya uhouse girl.
Ndiyo kupunguza dhambi zisizokuwa na ulazima.Daah dogo we ni chizi..eti sufuria zing'ae ..!!
Mkuu mbona hakuna matumizi ya kutisha??
Kwenye vocha, msosi nauli hata mie nimewazidi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Siku nyingine jitahidi na ujifunze kutumia hela
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona hakuna posho? Mchepuko gani anayekubali bila posho [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
jifunze kutumia hela birooooTwende wote
Nauli Musoma- Mwanza 10,000x2 20,000
Boda 2,000
Gest 30,000x2 60,000
Villa kumwona Choki siku 2 65,000
Sweta-Villa ilikuwa baridi 15,000
Tax 10,000
Misosi 7000xsiku 3 21,000
Vocha 3,000
Chakavu 40,000
Jumla ni 196,000
Shikamoo kaka.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Marahaba mdogo wangu, umenichekesha.Shikamoo kaka.
Eti sufuria zing'ae khaaaaaah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo 7,000 ni siku nzima.
Na ni watu wawili.
Ndo maana kaandika 7,000 mara siku 3.
Sasa piga mahesabu mmenda vacation na baby msosi mnakula 7,000 kuanzia asubuhi mpaka jioni.
Bora nibaki kwetu nisugue sufuria zing'ae
Kupunguza matumizi mabaya ya dhambi.Eti sufuria zing'ae khaaaaaah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aseeeeh ila kweli looKupunguza matumizi mabaya ya dhambi.
Yaani mtu ukiamua kutenda dhambi tenda hasa hata ukihukumiwa huko motoni unasema "naam hii kweli ni haki yangu"
Kwani wakichukua Chips kuku unadhani ni sh ngapi??? Hapo bado asubuhi hajalaaa... Chakula gest kinakulaa sanaa helaa aiseee sio kawaidaaDuh,hyo elf 7 ni pamoja na vinywaji??