Mchanganuo wa HESLB

Mchanganuo wa HESLB

Gray Ze Don

Member
Joined
Aug 18, 2013
Posts
36
Reaction score
3
cjaela k2 khx mchanganuo.
Hv mfano jordan ada ni milion 1.thn unakuta kwny ada bord wamekupa 1,112,000.je ina maanisha nn hyo..
 
mbona akili zako fupi lala nyoko wewe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
mbona akili zako fupi lala nyoko wewe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

ndg yng kuhuliza co ujinga.au unataka nijifanye najua kumbe cjui.najua bs akili yko ndefu.nisaidie plz ndg yng.Mungu akakutangulie
 
Huwez pewa hicho kiasi,kiasi chenyewe hata hakitoshi meal & accomodation.
Tulia waje wengine
 
kaka mm naona wame jumlisha na fee ya examination mm nimepata 1200000 xo hapo katika mchanganuo ada ni 1000000 na exam 200000! ila hata mm ina ni changanya koz watu wanasema ada ya mthani tunalipa wenyewe!
 
Back
Top Bottom