Mchanganuo wa mikataba ya sportpesa na vilabu vya Simba SC na Yanga SC

Mchanganuo wa mikataba ya sportpesa na vilabu vya Simba SC na Yanga SC

Hivi kwanini hawa wadhamini awaziangalii timu ndogo ndogo kama stand,mbao,nk?hizo timu zikipata mdhamini mnono kama wa simba na yanga,watafanya vizuri sana nakuongeza ushindani mkubwa.Ebu angalieni stand utd wakati acacia wapo,walileta upinzani mkali sana.
Stand united walipopata wadhamini walijitokeza mafisi kina Tishoborowa na majaliwa mbasa wakisaidiwa na malinzi ili watafune hizo pesa matokeo yake udhamini ukapotea
 
Back
Top Bottom