Mchanganuo wa uanzishwaji wa shule na faida zake

Bill of Quantity

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2014
Posts
1,233
Reaction score
406
Heri ya mwaka mpya wakuu wa JF...

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba kufahamu kuna kanuni gani hasa za kufuata hapa kwetu Tanzania ili mtu aweze kuanzisha shule, iwe ya chekechea, msingi ama sekondari.

Pili, naomba kufahamishwa, Je faida inakokotolewa vipi kutoka kwenye mradi kama huu wa shule??

Hapa namaanisha kwamba faida inapatikanaje?

Wakuu naomba maelezo mengine mengi ya ziada yanayohusiana na uanzishwaji wa shule.

Kumradhi kama ntakuwa nimeenda nje, ama sijauliza swali langu kama lilivyotakiwa kuulizwa.

cheers!
 
andaa au andaliwa school project proposal, itajibu yote hayo na mengine.
 
Kaka nadhani miradi kama hii inahitaji sana umakini. Ni vizuri ukatafuta mshauri anayeweza kukupatia project proposal na akakuonyesha picha nzima ya mradi (faida, manufaa na hasara) pengine kwa miaka kadhaa ijayo.
ushauri kama huu unaweza ukaupata hapa ila matusi na kejeli vitakuumiza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…