Bill of Quantity
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 1,233
- 406
Heri ya mwaka mpya wakuu wa JF...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba kufahamu kuna kanuni gani hasa za kufuata hapa kwetu Tanzania ili mtu aweze kuanzisha shule, iwe ya chekechea, msingi ama sekondari.
Pili, naomba kufahamishwa, Je faida inakokotolewa vipi kutoka kwenye mradi kama huu wa shule??
Hapa namaanisha kwamba faida inapatikanaje?
Wakuu naomba maelezo mengine mengi ya ziada yanayohusiana na uanzishwaji wa shule.
Kumradhi kama ntakuwa nimeenda nje, ama sijauliza swali langu kama lilivyotakiwa kuulizwa.
cheers!