Son of Nun
Senior Member
- May 8, 2017
- 179
- 78
Salaam wanajukwaa,
Ningependa msaada tafadhali kuhusu mada husika hapo juu.
Nawasilisha.
Ningependa msaada tafadhali kuhusu mada husika hapo juu.
Nawasilisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nataka matofali ya kuchoma ntayapata wapi hapa mjini?Salaam wanajukwaa,
Ningependa msaada tafadhali kuhusu mada husika hapo juu.
Nawasilisha.
Umesema sawa mkuu ukimaanisha kwamba?Sawa
Mimi kwa upande wangu sifahamu,Nataka matofali ya kuchoma ntayapata wapi hapa mjini?
TutakwambiaUmesema sawa mkuu ukimaanisha kwamba?
Mkuu,Cement ni imara zaidi ...ila zakuchoma pia niimara zaidi.
Basi Sawa.Tutakwambia
Mkuu vipi ukanda wetu huu wa kaskazini kuna ubora kweli wa udongo?Inategemea na udongo wa sehem (mkoa/kanda) husika, kama uko nje ya Iringa, Njombe, Songea/Ruvuma, maeneo baadhi ya Tabora, Dodoma tafuta simenti kwa gharama yoyote
Akili yangu imekuwa nzito kuelewaCement ni imara zaidi ...ila zakuchoma pia niimara zaidi.
Kaskazini pia udongo wake vizuri. sehem zenye mfinyanzi usiopasuka baada ya tofali lake kuchomwa. pia unaweza chimba udongo kwenye vi-ch/suguu ukafyatua lakin kama zinapasuka changanya udongo na majivu kiasiMkuu vipi ukanda wetu huu wa kaskazini kuna ubora kweli wa udongo?
Mimi pia Mkuu,Akili yangu imekuwa nzito kuelewa
Shukrani Mkuu,Kaskazini pia udongo wake vizuri. sehem zenye mfinyanzi usiopasuka baada ya tofali lake kuchomwa. pia unaweza chimba udongo kwenye vi-ch/suguu ukafyatua lakin kama zinapasuka changanya udongo na majivu kiasi
Huyu mzee anazingua,Mimi pia Mkuu,
Niko nasubiria anifafanulie hapa.
Kiwanda cha mbezi tiles sijui kama kipo, ukikosa wawezasafirisha toka au tanga morogoro yaliyotayari.Au tafuta udongo wa kichuguu utafute MTU akufyatulie,udongo unatoa tenda Kwa wa Magari.Nataka matofali ya kuchoma ntayapata wapi hapa mjini?
SafiUsilinganishe tofali ya kuchoma na mbolea ya n'gombe ile ni chuma matofali ya cement ni bure kabisa ndio maana nyumba nyingi za mkoloni iwe muingereza au mjerumani zimejengwa na tofali ya kuchoma yan nyumba yoyote iliyojengwa na mkolon kama sio ya tofali ya kuchoma basi imejengwa kwa ukuta wa mawe sio iyo mbolea