Imara ni ya kuchoma udumu miaka hadi 1000 ya cement ni miaka 100Mimi kwa upande wangu sifahamu,
Kingine ambacho sijui ni matofali yapi ni imara kati ya matofali ya kuchoma na matofali ya cement kama una ufahamu nisaidie mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imara ni ya kuchoma udumu miaka hadi 1000 ya cement ni miaka 100Mimi kwa upande wangu sifahamu,
Kingine ambacho sijui ni matofali yapi ni imara kati ya matofali ya kuchoma na matofali ya cement kama una ufahamu nisaidie mkuu.
Mkuu,Huyu mzee anazingua,
hata ushindi wake unatia mashaka goli LA mkono LA Nape huenda linahusika,
Hueleweki mkuuCement ni imara zaidi ...ila zakuchoma pia niimara zaidi.
Asante Mkuu.Tumia za kuchoma ila hakikisha udongo ni mzuri na zimechomwa vizuri, cement ina expire
Nenda Kwa wataalamu wa udongo vyuo vya Ujenzi,au Kilimo au wataalamu wa barabara wanajua ubora na uimara wa udongo sehemu husikaMkuu vipi ukanda wetu huu wa kaskazini kuna ubora kweli wa udongo?
Shukrani Mkuu.Nenda Kwa wataalamu wa udongo vyuo vya Ujenzi,au Kilimo au wataalamu wa barabara wanajua ubora na uimara wa udongo sehemu husika
Kwa maana nyingine tofari zote ni IMARACement ni imara zaidi ...ila zakuchoma pia niimara zaidi.
Na yote yanapendeza zaidiCement ni imara zaidi ...ila zakuchoma pia niimara zaidi.
Umenipata kabisaa mkuu!! Zote niimara.Kwa maana nyingine tofari zote ni IMARA
Mkuu,Umenipata kabisaa mkuu!! Zote niimara.
Tena ukitaka kupunguza gharama nabado ikawa bora ,tumia zakuchoma.
Kabisa mkuu ,,siunajua nyumba ukishaifanyia decoration inavyokua.Na yote yanapendeza zaidi
Hasa kwenye bei ya tofari unajikuta unajenga faster (ila angalizo kwenye uchaguzi wa tofari vinginevyo itakuwa mtiti kwenye kupiga lipu hasa kama matofari yametengenezwa sehemu tofauti tofauti na yanakuwa yanatofautiana vipimo ..utajikuta lipu inatumika nyingi kinoma)Umenipata kabisaa mkuu!! Zote niimara.
Tena ukitaka kupunguza gharama nabado ikawa bora ,tumia zakuchoma.
Ndio kabisa , shida nikm vipimo vya tofar vmetofautiana .......itabidi ujifanye kua ""ndo style ulopenda""Hasa kwenye bei ya tofari unajikuta unajenga faster (ila angalizo kwenye uchaguzi wa tofari vinginevyo itakuwa mtiti kwenye kupiga lipu hasa kama matofari yametengenezwa sehemu tofauti tofauti na yanakuwa yanatofautiana vipimo ..utajikuta lipu inatumika nyingi kinoma)
Ila basi tu kama imefuata kanuni za ujenzi nyumba ya kuchoma bado ni imara tu kama itapigwa finishing fresh soko lipo tu labda CRDB wenyewe walishaiweka chini kwa kusema sema tumepigwa nyumba yenyewe ni ya tofari za kuchoma na kuzua taharuki kwa wanunuziKabisa mkuu ,,siunajua nyumba ukishaifanyia decoration inavyokua.
Jamaa mmoja ,alitumia milion 70 kujenga nyumba ya tofali akaipamba,, akaenda CRDB akachukua milion zaidi ya 200 ,walivyokuja kuthaminisha wakakubali .
Muhuni mpaka waleo hajulikan alipo ,CRDB wameshajribu kuuza nyumba inashindakana maana baaaaaaaadae ndo wakajua ni ya tofali zakuchoma
Yaaan nikm unajua kilichoendelea ,,,wanunuz ndo walipokua wakijua ni ya tofar kuchoma wanaacha kununua.Ila basi tu kama imefuata kanuni za ujenzi nyumba ya kuchoma bado ni imara tu kama itapigwa finishing fresh soko lipo tu labda CRDB wenyewe walishaiweka chini kwa kusema sema tumepigwa nyumba yenyewe ni ya tofari za kuchoma na kuzua taharuki kwa wanunuzi
Ila bado kwa hatua za awali za nyumba yaani kunyanyua ukuta na kuezeka inakwenda faster mpaka rahaNdio kabisa , shida nikm vipimo vya tofar vmetofautiana .......itabidi ujifanye kua ""ndo style ulopenda""
Yafyatuliwe tu kawaida kisha yanachomwa kwa kuni au pumba kwa kuyapanga kwa mpangilio maalum ili yote yaive hata kama yatakuwa elf 10 kwa kuacha nafasi kati ya mstari na mstari ambayo baadae itajazwa kuni au pumba.Shukrani Mkuu,
Ila nina ombi la mwisho naomba kama unaweza nidokeze kidogo juu ya utengenezaji wa hayo matofali ya kuchoma.
Nyumba za kuchoma kwa mkoa wa Mwanza ninapewa thamani kama nyumba zingine tu mfano kama mtu amejenga ukuta mpaka level ya kuanzia dirisha akapiga mkanda wa zege na nondo kisha juu akapiga renta yaani nyumba inakuwa imara kweli kuliko hata ya matofari ya block ambayo imejengwa moja kwa moja mpaka rentaYaaan nikm unajua kilichoendelea ,,,wanunuz ndo walipokua wakijua ni ya tofar kuchoma wanaacha kununua.
Tofar ya kuchoma ,ukaipendezesha ,nimatata sana.