Mchanganyiko bora wa juisi ya matunda ni upi?

Je ukizisaga karaga zikawa tui kisha ukichanganya na huo mchanganyiko mwingine kuna shida ?
Mmhh hii sijui, sidhani kama utapata ile ladha ya kusavisaga pamoja.....kama hauwezi siku hizi sehemu za bar kuna wadada wanatengeneza fresh juice hiyo pia wanatengeneza
 
My favorite kinywaji ni embe + limao + tangawizi
Au ndimu, mint na sprite (najua hii sio juice ila ni kinywaji changu pendwa)
Nb: Napenda uchachu uchachu
 
Parachichi + embe + Passion+ nanasi 😋
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…