Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
watafuta stamina hii inawafaa kwa ajili ya match.1.Tende saga.
2.Karanga zikaange ondoa magamba Kisha saga.
3.maziwa fresh chemsha acha yapoe.
Kwa kutumia brender au kipekecho (Kama ndo jina lake) changanya mchanganyiko huu.
Tumia maziwa kutengeneza uzito au wepesi uutakao.
Hamna haja ya sukari hapo.
Hii juicy Ni balaaa halafu imekaa kitajiri mno.
Nawashauri mjaribu
Mkuu kama upo familiar na juice za biashara naomba tushee idea tafadhaliNaomba kwa anayefahamu jinsi ya kutengeneza juice ya strawberry anielekeze, ni kwaajili ya biashara.
Mkuu kama upo familiar na juice za biashara naomba tushee idea tafadhali
Tende zile nyeusi?1.Tende saga.
2.Karanga zikaange ondoa magamba Kisha saga.
3.maziwa fresh chemsha acha yapoe.
Kwa kutumia brender au kipekecho (Kama ndo jina lake) changanya mchanganyiko huu.
Tumia maziwa kutengeneza uzito au wepesi uutakao.
Hamna haja ya sukari hapo.
Hii juicy Ni balaaa halafu imekaa kitajiri mno.
Nawashauri mjaribu
Kwa nini uliacha?Hapana ndugu nilitaka kufanya hyo ila nikashndwa kutokana na kukosa ujuzi saiv nipo na Mishe nyingine
Ujuzi upi ulikosa mkuu? wakati una simu ina bando?Hapana ndugu nilitaka kufanya hyo ila nikashndwa kutokana na kukosa ujuzi saiv nipo na Mishe nyingine
Jinsi ya kuandaa hiyo beetroot maana inaacha vipande vidogo vidogo kwenye juice haitoi fine texture!
ebu picha yake hizo tende nyeusi?Tende zile nyeusi?
This is stomach Ballistic bomb. You are warned, beware!Ember+parachichi+pipi ivory +biscut,Tangawizi +ndimu tengeneza hiyo kuwa makin ni lahisi kuharibika kama huto zingatia usafi by ni tamu sana
No , which kind of bomb do you mean? I known what am said ,I know Ingradients not by feeling like you or most of others but by professionally, ipo hivi ni juice nzuri kipita zote ulizo wahi taste,usiongee kwa mihemko, kama una dought njoo na hoja kisayansi tuamzie hapo, ?This is stomach Ballistic bomb. You are warned, beware!
No , which kind of bomb do you mean? I known what am said ,I know Ingradients not by feeling like you or most of others but by professionally, ipo hivi ni juice nzuri kipita zote ulizo wahi taste,usiongee kwa mihemko, kama una dought njoo na hoja kisayansi tuamzie hapo, ?
Ingawaje siyo favorite kwa watu wenye sukari,ulcers,pressure because ya sukari nying, na cocoa ya most of biskut,kwa sababu ita stimulate acidic production kwa wenye ulcers,. Ila ni juice yenye test tamu kupitiliza Asante