Binafsi nimepitia mapendekezo yenu kama member na kuona kila mmoja anagyoweza kutoa kile anachokipenda kulingana na ifahamu wake.
Ila kama darasa ni muhimu kujua yafuatayo:
1. kazi ya kila tunda au kile kinachoweza kutumika katika uandaaji wa juice.
2. kiwango au kipimo cha kila tunda katika kupata uwiano wa kila Lita moja ya uandaaji wa juice.
3. Ladha au burudani inayotakiwa kupatikana kwa mlaji baada ya uandaaji wa juice.
4. Viini lishe kama madini, protein na vitamins vilivyomo ndani ya juice.
5. Matumizi na faida ya juice mwilini hasa kwa upande wa ubora wa lishe, tiba mbadala, kinga na afya ya mwili.
Baada ya hapo utakuwa unaweza kutengeneza juice iliyo bora zaidi na kwa malengo ya kukidhi mahitaji ya mlaji au mteja wako endapo kama unalengo la kufanya biashara.
Kwa wenye malengo ya kufanya biashara ya juice karibu tuwasiliane kupitia
senicoms@gmail.com au WhatsApp +255787220120