Mchanganyiko bora wa juisi ya matunda ni upi?

Mchanganyiko bora wa juisi ya matunda ni upi?

Zabibu + vanila
1656d0304edd3141e1bb6db55f0a1aac.jpg

Bungo + Parachichi
Fursadi + Vanila
 
Parachichi na mtindi tu. Usisahau sukari.

Huu ndio mchanganyiko super.

Try it at home.
 
Kuna jamaa kaniarifu kuwa amewahi akiwa safarini kunywa juisi ya maembe mabichi imechanganywa matunda mengine na ni nzuri sasa ina ladha na harufu nzuri - kuna mtu anajua hili ?
 
1.Tende saga.
2.Karanga zikaange ondoa magamba Kisha saga.
3.maziwa fresh chemsha acha yapoe.

Kwa kutumia brender au kipekecho (Kama ndo jina lake) changanya mchanganyiko huu.
Tumia maziwa kutengeneza uzito au wepesi uutakao.
Hamna haja ya sukari hapo.
Hii juicy Ni balaaa halafu imekaa kitajiri mno.
Nawashauri mjaribu

Its very strong drink....nilitumia wiki moja mfululizo duh nikua bonge na si shauri wanafunzi au wasio na wake kunywa hiyo juice
 
1.Tende saga.
2.Karanga zikaange ondoa magamba Kisha saga.
3.maziwa fresh chemsha acha yapoe.

Kwa kutumia brender au kipekecho (Kama ndo jina lake) changanya mchanganyiko huu.
Tumia maziwa kutengeneza uzito au wepesi uutakao.
Hamna haja ya sukari hapo.
Hii juicy Ni balaaa halafu imekaa kitajiri mno.
Nawashauri mjaribu
Faida yake ni ipi katika mwili (plz)
 
1.Tende saga.
2.Karanga zikaange ondoa magamba Kisha saga.
3.maziwa fresh chemsha acha yapoe.

Kwa kutumia brender au kipekecho (Kama ndo jina lake) changanya mchanganyiko huu.
Tumia maziwa kutengeneza uzito au wepesi uutakao.
Hamna haja ya sukari hapo.
Hii juicy Ni balaaa halafu imekaa kitajiri mno.
Nawashauri mjaribu
Nitaifanyia kazi hii
 
Back
Top Bottom