Zipo juisi za mchanganiko wa matunda wa aina nyingi ila kwa upande wangu napenda sana mchanganyiko wa Parachichi, Embe, pasheni na iriki na nikikosa embe natmia nanasi, huu naweza kunywa hata kila siku mwaka mzima na nisiuchoke.
Wewe unapenda juisi ya tunda gani?
Wewe unapenda juisi ya tunda gani?