Mchanganyiko gani wa matunda unapenda juisi yake?

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251
Zipo juisi za mchanganiko wa matunda wa aina nyingi ila kwa upande wangu napenda sana mchanganyiko wa Parachichi, Embe, pasheni na iriki na nikikosa embe natmia nanasi, huu naweza kunywa hata kila siku mwaka mzima na nisiuchoke.

Wewe unapenda juisi ya tunda gani?
 

Ingia humo. Zipo juisi zote unazotaka
 
Tikiti+passion hii hat wali ninyime tu
Kuna ya carrot +passion hii ni fanta iliyoboreshwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…