Mchanganyiko uliosagwa wa Tangawizi, Kitunguu Saumu, Mdalasini, Limao na Asali vinaweza kutumika kwa muda gani bila kuharibika?

Kaka mkubwa lakini mchanganyiko ulioutaja ni wa kuongeza nguvu za kupiga show.......changanya kidogo kidogo..Ili iishe ndani ya siku 3 ila unakua unaweka kwenye fridge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…