DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Sahii kabisa,Nguvu za kiume imekua exaggerated mno mwisho wa siku ambaye hana tatizo anajipa tatizo kwa kuwazia ama kufikiri kwa wasiwasi, usiamini stori za watu kule kimasihara watakuponza ukahisi tofauti
Hii kitu iko overrated sana