DeepPond JF-Expert Member Joined Nov 18, 2017 Posts 41,728 Reaction score 103,997 May 19, 2022 #21 Dolla_Mbili said: Nguvu za kiume imekua exaggerated mno mwisho wa siku ambaye hana tatizo anajipa tatizo kwa kuwazia ama kufikiri kwa wasiwasi, usiamini stori za watu kule kimasihara watakuponza ukahisi tofauti Click to expand... Sahii kabisa, Hii kitu iko overrated sana
Dolla_Mbili said: Nguvu za kiume imekua exaggerated mno mwisho wa siku ambaye hana tatizo anajipa tatizo kwa kuwazia ama kufikiri kwa wasiwasi, usiamini stori za watu kule kimasihara watakuponza ukahisi tofauti Click to expand... Sahii kabisa, Hii kitu iko overrated sana
Lupweko JF-Expert Member Joined Mar 26, 2009 Posts 23,566 Reaction score 24,891 May 19, 2022 #22 Tony Laurent said: Upungufu wa nguvu za kiume limekuwa janga sasa! Click to expand... na fursa pia
Dolla_Mbili JF-Expert Member Joined May 28, 2017 Posts 1,207 Reaction score 2,981 May 20, 2022 #23 DeepPond said: Sahii kabisa, Hii kitu iko overrated sana Click to expand... Vijana siku hizi kutwa kucha kutafuta matibabu na hawana tatizo[emoji28]
DeepPond said: Sahii kabisa, Hii kitu iko overrated sana Click to expand... Vijana siku hizi kutwa kucha kutafuta matibabu na hawana tatizo[emoji28]
P patson Member Joined Dec 20, 2011 Posts 16 Reaction score 22 May 20, 2022 #24 Kuna Konyagi na Ukwaju.[emoji41][emoji41][emoji41]