IGUDUNG'WA
JF-Expert Member
- Oct 22, 2011
- 2,071
- 1,317
Jamani leo habib Mchange nusura achapwe makonde na washiriki wa kongamano la vijana wa vyama vya siasa baada ya kuwasirisha maada ambayo iliwakera washiriki. hotuba ya Mchange ilidumu kwa dakika saba tu kabla ya vurumai kuzuka.
Source: Channel Ten Taarifa ya habari usiku
Juzi kuna mdau alisema habib Mchange yuko mwanza na ndiye mratibu wa matamko feki ya kupinga cc ya cdm sasa leo namuomba aje akanushe maana alihadaa umma kuwa yupo Zanzibar.

Last edited by a moderator: