Mchange anusurika kichapo leo kwenye kongamano la siasa huko mwanza

IGUDUNG'WA

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2011
Posts
2,071
Reaction score
1,317
Jamani leo habib Mchange nusura achapwe makonde na washiriki wa kongamano la vijana wa vyama vya siasa baada ya kuwasirisha maada ambayo iliwakera washiriki. hotuba ya Mchange ilidumu kwa dakika saba tu kabla ya vurumai kuzuka.

Source: Channel Ten Taarifa ya habari usiku

Juzi kuna mdau alisema habib Mchange yuko mwanza na ndiye mratibu wa matamko feki ya kupinga cc ya cdm sasa leo namuomba aje akanushe maana alihadaa umma kuwa yupo Zanzibar.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu hii tarifa nimeiona c ten lakini kutaka kupigwa siajaona au mimi tv yangu ya kichina make nimeona mzozo wa kawaida kupinga maneno aliyotumia mchange wala siyo kutaka kupigana.
 
Watu wasiokuwa tayari kusikiliza mawazo tofauti ni primitive.
 
Bora yeye alitaka kupigwa, mama Zitto tairi ya gari imetobolewa na wahafidhina. Hii ni vita ya wapenda demokrasia dhidi ya wahafidhina.
 
Mkuu hii tarifa nimeiona c ten lakini kutaka kupigwa siajaona au mimi tv yangu ya kichina make nimeona mzozo wa kawaida kupinga maneno aliyotumia mchange wala siyo kutaka kupigana.

wewe lazima utetee maana ndio nyie waandaaji wa matamko feki
 
"Ukiambiwa usifanye hiki wewe ukakaidi utapigwa tu" kwanin hawajafuata kanuni hii?
 
Watu wasiokuwa tayari kusikiliza mawazo tofauti ni primitive.

mwambieni Gamba mwenzenu Mchange aache kuaandaa matamko feki inteligensia ya chadema inatisha sio sawa na ya Kova... eti anadanganya yuko Zanzibar leo kaaibika sasa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom