IGUDUNG'WA
JF-Expert Member
- Oct 22, 2011
- 2,071
- 1,317
Mkuu hii tarifa nimeiona c ten lakini kutaka kupigwa siajaona au mimi tv yangu ya kichina make nimeona mzozo wa kawaida kupinga maneno aliyotumia mchange wala siyo kutaka kupigana.Jamani leo habib Mchange nusura achapwe makonde na washiriki wa kongamano la vijana wa vyama vya siasa baada ya kuwasirisha maada ambayo iliwakera washiriki. hotuba ya Mchange ilidumu kwa dakika saba tu kabla ya vurumai kuzuka.
Source: Channel Ten Taarifa ya habari usiku
Juzi kuna mdau alisema habib Mchange yuko mwanza na ndiye mratibu wa matamko feki ya kupinga cc ya cdm sasa leo namuomba aje akanushe maana alihadaa umma kuwa yupo Zanzibar.
Ni kweli sio alinusurika kupigana, ila kupigwa! Apigwe tu!... nimeona mzozo wa kawaida kupinga maneno aliyotumia mchange wala siyo kutaka kupigana.
Aliyenusurika kupigwa anataka maneno yake, hataki ya wengine, so HM ni primitive!Watu wasiokuwa tayari kusikiliza mawazo tofauti ni primitive.
Mkuu hii tarifa nimeiona c ten lakini kutaka kupigwa siajaona au mimi tv yangu ya kichina make nimeona mzozo wa kawaida kupinga maneno aliyotumia mchange wala siyo kutaka kupigana.
Watu wasiokuwa tayari kusikiliza mawazo tofauti ni primitive.
Watu wasiokuwa tayari kusikiliza mawazo tofauti ni primitive.
...hawanatofauti na wanaogombea uenyekiti na kivuli...Watu wasiokuwa tayari kusikiliza mawazo tofauti ni primitive.