Mchange: Heche ananufaika na kesi ya Lissu ndio maana haifiki mwisho

Mchange: Heche ananufaika na kesi ya Lissu ndio maana haifiki mwisho

"MAISHA YETU SISI WATANZANIA NI IMARA ZAIDI KULIKO TOFAUTI ZA KISIASA"

ukilichukua hili viongozi wa kisiasa hawatakuendesha.
 
Mchange na Lucy petrol station, bora hata Lucy ana common sense. Halafu pamoja na kwamba wote wanajiuza kwa wanaume, lakini Lucy ana K.
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, ametuhumiwa kutumia changamoto za kuwa mahabusu kwa Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, kwa manufaa yake binafsi.

Tuhuma hizo zinaeleza kuwa Heche anadaiwa kuzuia kwa makusudi jitihada za kumaliza kesi inayomkabili Lissu ili aendelee kubaki na ushawishi na madaraka makubwa ndani ya chama, ajijengee umaarufu wa kisiasa na kukusanya fedha kutoka ndani na nje ya nchi kwa kisingizio cha kuhamasisha mapambano ya kidemokrasia.

Soma Pia: Habibu Mchange: Lissu na Heche ndiyo walioratibu maandamano ya Oktoba 29

Tuhuma hizo zimetolewa na Habibu Mchange mwenyekiti wa MECIRA ambaye aliwahi kuwa mwanachama mwandamizi wa CHADEMA.

Watanganyika machoko tu ndiyo watamuamini huyu *****.
Kwani mahaka imeshamuachia Lissu na anayekataza Lissu asitoke gerezani kinyume cha uamuzi wa mahakama ni Heche? Au Heche ndiye judge hivyo kwa makusudi anazuia kutoa uamuzi wa haki ili Lissu aachiwe?
 
Kuna siku watayakana haya maneno yao,na wataanza kuomba huruma ya wananchi,maana Dunia inazunguka hii
 
Huyo fala anamaanisha kwmb maridhiano fake ili lissu aachiwe heche amegomea..
 
Hivi akiambiwa aweke uthibitisho atauweka hapa?, inamaana yeye anaijua sana intelenjisia zaidi ya Polisi?
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, ametuhumiwa kutumia changamoto za kuwa mahabusu kwa Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, kwa manufaa yake binafsi.

Tuhuma hizo zinaeleza kuwa Heche anadaiwa kuzuia kwa makusudi jitihada za kumaliza kesi inayomkabili Lissu ili aendelee kubaki na ushawishi na madaraka makubwa ndani ya chama, ajijengee umaarufu wa kisiasa na kukusanya fedha kutoka ndani na nje ya nchi kwa kisingizio cha kuhamasisha mapambano ya kidemokrasia.

Soma Pia: Habibu Mchange: Lissu na Heche ndiyo walioratibu maandamano ya Oktoba 29

Tuhuma hizo zimetolewa na Habibu Mchange mwenyekiti wa MECIRA ambaye aliwahi kuwa mwanachama mwandamizi wa CHADEMA.

Huyu mchange sijaona kuona mahali alipotumia akili yake zaidi ya kutumia makalio yake. Kwani waliomfunga Lissu ni Heche na Chadema au chama cha majambazi (CCM) na mwenyekiti wao mwenye kitambi?
 
Kesi ya Lissu aliye mahakamani Heche anaizuia vipi kufikia mwisho? Heche ndio anapanga ratiba za hiyo kesi?​
 
Back
Top Bottom