AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Alirudishwa miaka 16 nyuma ajiangalie jinsi alivyokua anaulizwa huyu ni wewe anaanza kujing'atang'ataHuyo mchongo anahangaika sana kujulikana na watanzania ila wapii 🤣🤣🤣. Bongonyoso kudadadekii
Ukishakua na akili ndogo unakua mpumbavu.Alirudishwa miaka 16 nyuma ajiangalie jinsi alivyokua anaulizwa huyu ni wewe anaanza kujing'atang'ata
Watanganyika machoko tu ndiyo watamuamini huyu *****.Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, ametuhumiwa kutumia changamoto za kuwa mahabusu kwa Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, kwa manufaa yake binafsi.
Tuhuma hizo zinaeleza kuwa Heche anadaiwa kuzuia kwa makusudi jitihada za kumaliza kesi inayomkabili Lissu ili aendelee kubaki na ushawishi na madaraka makubwa ndani ya chama, ajijengee umaarufu wa kisiasa na kukusanya fedha kutoka ndani na nje ya nchi kwa kisingizio cha kuhamasisha mapambano ya kidemokrasia.
Soma Pia: Habibu Mchange: Lissu na Heche ndiyo walioratibu maandamano ya Oktoba 29
Tuhuma hizo zimetolewa na Habibu Mchange mwenyekiti wa MECIRA ambaye aliwahi kuwa mwanachama mwandamizi wa CHADEMA.
Huyu mchange sijaona kuona mahali alipotumia akili yake zaidi ya kutumia makalio yake. Kwani waliomfunga Lissu ni Heche na Chadema au chama cha majambazi (CCM) na mwenyekiti wao mwenye kitambi?Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, ametuhumiwa kutumia changamoto za kuwa mahabusu kwa Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, kwa manufaa yake binafsi.