Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mwanaharakati wa kisiasa, Habibu Mchange, amedai kuwa aliyekuwa Mbunge wa Ubungo, John Mnyika, aliamua kutogombea tena nafasi hiyo katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 kutokana na kutokubaliana na uamuzi wa CHADEMA kumpokea aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa.
Mchange alisema Mnyika alisimamia alichokiamini wakati huo kwa kuwa hakutaka kuunga mkono mwanasiasa ambaye chama hicho kilikuwa kimemtuhumu kwa ufisadi kwa miaka mingi.
Mchange alisema Mnyika alisimamia alichokiamini wakati huo kwa kuwa hakutaka kuunga mkono mwanasiasa ambaye chama hicho kilikuwa kimemtuhumu kwa ufisadi kwa miaka mingi.