Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Ameanza polepole.Akipigiwa makofi na kushangiliwa lazima atalopoka la moyoni.Wait and see!Huyu atakuwa katumwa tu...
Hajatumwa. Ni ugiligili wake tu na mning'ino wa kushindwa kwao kuisambaratisha CHADEMA zama za Kikwete/ magufuli.Huyu atakuwa katumwa tu...
Nahofia hiki kizazi kipya kisichojua historia ya huyo tapeli Mchange kisije kumuamini.Hajatumwa. Ni ugiligili wake tu na mning'ino wa kushindwa kwao kuisambaratisha CHADEMA zama za Kikwete/ magufuli.
Hawa ni aina ya watu wanaojiegemeza kwenye kundi la wasakatonge wakati wenyewe ni wachumia tumbo. Lakini YANA MWISHO...
Conman aka con-artist!Nahofia hiki kizazi kipya kisichojua historia ya huyo tapeli Mchange kisije kumuamini.
Kabisa... Walipinda kibyongo walipotoka CHADEMA wakidhani wao ni watu spesho Sana.Nahofia hiki kizazi kipya kisichojua historia ya huyo tapeli Mchange kisije kumuamini.
Kwamba aliacha kugombea ubunge in protest na akakubali kuwa Katibu Mkuu in protest, too? Completely illogical.
Kwa kinyamwezi "kutela" ni kupwaya/kutotosha kiunoni wala shimoni.Kwamba aliacha kugombea ubunge in protest na akakubali kuwa Katibu Mkuu in protest, too? Completely illogical.
Aliacha kugombea Ubungo na Kibamba alikuwa nani? Hivi Mchange Dish lake lipo sawa?
Ameshiba mihogo mibichi huyo.Anatafuta kwa kupigia mbwewe.Kwamba aliacha kugombea ubunge in protest na akakubali kuwa Katibu Mkuu in protest, too? Completely illogical.
Huyu namuonaga shoga ruKada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mwanaharakati wa kisiasa, Habibu Mchange, amedai kuwa aliyekuwa Mbunge wa Ubungo, John Mnyika, aliamua kutogombea tena nafasi hiyo katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 kutokana na kutokubaliana na uamuzi wa CHADEMA kumpokea aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa.
Mchange alisema Mnyika alisimamia alichokiamini wakati huo kwa kuwa hakutaka kuunga mkono mwanasiasa ambaye chama hicho kilikuwa kimemtuhumu kwa ufisadi kwa miaka mingi.
Ndio maana tunasema ccm ni genge la wapumbavu na kichwani hawana network, kama anasema mnyika hakugombea ubunge 2015 labda nikuulize mbunge wa kibamba 2015 hadi 2020 alikuwa nani? Ccm imejaa mapunga ndio maana lichama limejifia Kwa akili hizi za kipumbavuKada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mwanaharakati wa kisiasa, Habibu Mchange, amedai kuwa aliyekuwa Mbunge wa Ubungo, John Mnyika, aliamua kutogombea tena nafasi hiyo katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 kutokana na kutokubaliana na uamuzi wa CHADEMA kumpokea aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa.
Mchange alisema Mnyika alisimamia alichokiamini wakati huo kwa kuwa hakutaka kuunga mkono mwanasiasa ambaye chama hicho kilikuwa kimemtuhumu kwa ufisadi kwa miaka mingi.