Kiboko ya Mazwazwa
JF-Expert Member
- Feb 22, 2026
- 1,802
- 3,271
Ccm imejaa wagonjwa wa akili huku Kanda ya ziwa Huwa wananyweshwa dawa inaitwa lonzwe na mtu anapona kabisa.Aliacha kugombea Ubungo na Kibamba alikuwa nani? Hivi Mchange Dish lake lipo sawa?
so what!Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mwanaharakati wa kisiasa, Habibu Mchange, amedai kuwa aliyekuwa Mbunge wa Ubungo, John Mnyika, aliamua kutogombea tena nafasi hiyo katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 kutokana na kutokubaliana na uamuzi wa CHADEMA kumpokea aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa.
Mchange alisema Mnyika alisimamia alichokiamini wakati huo kwa kuwa hakutaka kuunga mkono mwanasiasa ambaye chama hicho kilikuwa kimemtuhumu kwa ufisadi kwa miaka mingi.
Anaruka ruka tu. Ataanza kuwa kituko kama wale jamaa wa chalinze wanaovuta shisha.Alienda kugombea Kibamba..
Halafu huyu kilaza anavyosema Heche kachukua bilioni 1 je amezichukua toka kwa nani?
Aje na ushahidi.
Naona sasa wamechemka hadi anasema walinzi wa Heche hawana mshahara hivi si vituko, hao walinzi ndio wamemtuma awasemee?
Jamaa si anatumika na ...Kwa hili Mnyika nilimkubali sana ila kwa sasa hayo ni historia tu
Britanicca
M.A.P Thadei Ole Mushi.Jamaa si anatumika na ...
Sema hilo dude limejaa nyasi kibao na payrooo zao zipo wazi.
Haha
😂.....hahahaaaaa!Kukaribishwa nyumbani kwa Kangi Lugola...Kisha akatoroka kwa kuruka UkutaNahofia hiki kizazi kipya kisichojua historia ya huyo tapeli Mchange kisije kumuamini.
Humphrey PolepoleKada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mwanaharakati wa kisiasa, Habibu Mchange, amedai kuwa aliyekuwa Mbunge wa Ubungo, John Mnyika, aliamua kutogombea tena nafasi hiyo katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 kutokana na kutokubaliana na uamuzi wa CHADEMA kumpokea aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa.
Mchange alisema Mnyika alisimamia alichokiamini wakati huo kwa kuwa hakutaka kuunga mkono mwanasiasa ambaye chama hicho kilikuwa kimemtuhumu kwa ufisadi kwa miaka mingi.
acha utapeli dogo.M.A.P Thadei Ole Mushi.
Haya mataahira hata kusoma vitu vidogo vidogo hayajui,Mnyika aligombea ubunge Kibamba mwaka 2015 na akashinda. Hakugombea ubunge mwaka 2020 ili afanye kazi ya ukatibu mkuu kwa ufanisi.Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mwanaharakati wa kisiasa, Habibu Mchange, amedai kuwa aliyekuwa Mbunge wa Ubungo, John Mnyika, aliamua kutogombea tena nafasi hiyo katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 kutokana na kutokubaliana na uamuzi wa CHADEMA kumpokea aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa.
Mchange alisema Mnyika alisimamia alichokiamini wakati huo kwa kuwa hakutaka kuunga mkono mwanasiasa ambaye chama hicho kilikuwa kimemtuhumu kwa ufisadi kwa miaka mingi.
Halafu utawasikia wakisema "tujadili ni kwa nini Mnyika hakugombea ubunge mwaka 2015" Sasa unajadilije kitu ambacho hakipo?Haya mataahira hata kusoma vitu vidogo vidogo hayajui,Mnyika aligombea ubunge Kibamba mwaka 2015 na akashinda. Hakugombea ubunge mwaka 2020 ili afanye kazi ya ukatibu mkuu kwa ufanisi.
Wanajichetua😆😀😄😃Kwahiyo mbunge wa kibamba 2015-2020 alikuwa nani? Vcccccm ni mataahira mno
Mnyika aliacha kugombea ubunge 2020 baada ya kuona hata akishinda kwenye box la kura bado tu hatatangazwa. Kina Halima mdee wenyewe walijiamini lakiniKwa hili Mnyika nilimkubali sana ila kwa sasa hayo ni historia tu
Britanicca
Kenge wewe liuajiacha utapeli dogo.
SAYNGAY wewe kafie mbele hiko liuajiacha utapeli dogo.