Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Habibu Mchange amesema Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amepotosha, Kamati Kuu haikumhoji Heche kuhusu suala la 'ToneTone' bali tuhuma za ubadhirifu wa fedha za wadau.
Soma: Mnyika afafanua tuhuma za Heche na matumizi ya fedha za ToneTone
Soma: Mnyika afafanua tuhuma za Heche na matumizi ya fedha za ToneTone