Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heheheh,,wanawake Mungu atubarikiKama sikio la tembo
Hahahaha....ugumu unatoka wapi mkuu kapeace.T 1990 ELY natamani nikutane na wewe japo ni ngumu lkn si vibaya ukinitumia kapicha
HahahaHeheheh,,wanawake Mungu atubariki
Chmbani mkuu Ely, ugumu wa kukutana naishi chini ya ardhi mkuuHahahaha....ugumu unatoka wapi mkuu kapeace.
Picha nakutumia kwa hapa sebuleni au chumbani mkuu?
Mkemwenza mimi nnataka nionane na weweNilotamani kuonana nao tayari nishaonana nao, hivyo haina haja ya kuwataja.
Hahaha! Bahili ni wewe utakaye tumiwa nauli na wala usije niliko...Nitumie bhana acha ubahili
Asantee 😛Beef Lasagna
Shunie
Miss Natafuta
kapeace
Hawa natamani nikutane nao hata leo.... nipo tayari kuvunja account kwa ajili yao
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa hiyo umegoma kabisa kutumaHahaha! Bahili ni wewe utakaye tumiwa nauli na wala usije niliko...
Fresh mkuuNiaje wewe....!
Ni kweli mkuuMiaka kadhaa nyuma wakati nikipita humu kama visitor sijawa niliwahi kusikia members wa JF hua wanakutana kwa parties na kufamiana, ni kweli hii kitu kwa mwenye kujua au ilikua chai tu?
Hahaha. Sijipendi eeh? Naanzaje kugoma?[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa hiyo umegoma kabisa kutuma
Asante kinga kingdom, natamani ivo piaMie huyu jamaa mshana natamani sana nimuone,kuna kipindi tungekutana kampala but ilishindikana!!!
Wengine ni BAK,Kapeace mama watoto wangu!! Hivi Dab yupo duniani? Mwambie nae akuje
Nipo... Nimerudi aseehFresh mkuu
Nipo... Nimerudi aseeh