Mchangiaji gani katika hili jukwaa unatamani kukutana nae live?

Heheheh,,wanawake Mungu atubariki
Hahaha
Ila kuna mmoja mwaka juzi alinivunja mbavu anaitwa mama mtarajiwa... Alisema amekutana na mwanaume wa JF lipua lake linafunika uso na mwili hautoshi kwenye camera ya simu...


Haha nyie wanawake wa JF mnapenda kutuonea nyie..
 
Miaka kadhaa nyuma wakati nikipita humu kama visitor sijawa niliwahi kusikia members wa JF hua wanakutana kwa parties na kufamiana, ni kweli hii kitu kwa mwenye kujua au ilikua chai tu?
 
Mie huyu jamaa mshana natamani sana nimuone,kuna kipindi tungekutana kampala but ilishindikana!!!

Wengine ni BAK,Kapeace mama watoto wangu!! Hivi Dab yupo duniani? Mwambie nae akuje
Asante kinga kingdom, natamani ivo pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…